Wadau mbali mbali walimpongeza staa huyo, kwa uwezo wake wa kukizungusha kiuno na uchezaji wa aina yake, uliowafanya watu wengi wavutiwe na video hiyo, ambayo imezagaa kwenye mtandao maarufu wa instagram.
Lulu Aliandika Hivi:
Imenifika Hapaaaaaaaaaaaaaa
ANGALIZO:Video hii itadumu kwa muda wa dakika 1 ️na Nusu tuIna HADI part 10alafu Hapa nimecheza kwa Aibu Dai Nipe kazi kama vp" Lol! kazi umepata Mama #Sankoro #NaNa
ANGALIA VIDEO HAPA:
hakuna jipya ...kucheza hajui hihihi what a tragedy lols!
ReplyDeleteDiamond akae mkao wa next to the grave
ReplyDeleteDai kaa mbali. Lulu ana "kichinja''. Kanumba, Komba, Sekky....Kaa mbali upate uhai wako dogo.
ReplyDelete