Wema Sepetu Atoa Sababu kwanini HATOMSAMEHE Kajala Masanja

Kwa muda mrefu sasa hivi watu wanaofatilia habari za mastaa wa bongo wanafahamu kwamba Waigizaji Wema Sepetu pamoja na Kajala ambao walikua marafiki mpaka Wema akamuokoa Kajala kwenda Jela kwa kumlipia faini ya MILIONI 13, hawapatani sasa hivi hata wakikutana hawasalimiani.

Wema Sepetu alikutana na Zamaradi Mketema kwenye show ya CloudsTV (TAKE ONE) na kuongea mengi kuhusu Kajala na kwanini hatomsamehe, kwenye hizi video mbili hapa chini kuna Part I na Part II Wema akiongea yote.
PARTY 2

Post a Comment

14 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. NAWE MUNGU HATAKUSAHAME. SAMEHE ILI UPATE KUSAMEHEWA NA WEWE!!!

    ReplyDelete
  2. Bila wema hamuuzi

    ReplyDelete
  3. Hata mke wa CK na Lina hawatakusamehe. Hukumuokoa K. Hela za CK. Kajala atazidi kukupa kiwewe. Kutwaa uko mitandaoni. CK is goooone. Get used 2 it. Tena kelele zako zinazidi kumkimbiza. Jipange upya manina wee

    ReplyDelete
  4. Asisamehe kwani yy Mungu?? Yy ndio kibaka namba 1 wa wanaume wa watu. Aso haya. Sura kaa *c*hi wake uliochoka kwa kuvurugwa.

    ReplyDelete
  5. mmmm jamani hivi ni kosa gani hilo lisilosameheka????????

    ReplyDelete
  6. KWANI YEYE MUNGU? ?? MWACHE AJITWISHE MIZIGO ISIYOBEBEKA HIYO NI YAKE. KAJALA KAMALIZA HATA MUNGU AKIMCHUKUA LEO. ALAAAA ANATAFUTA KIKI ZAIDI KUPITIA KWA KAJALA . KILA CKU KAJALA KAJALA KAJALA KWANI ALIUA MTU! JITWISHE MAMA SASA UTAFUNGA RAMADHANI??

    ReplyDelete
  7. TENA JIANGALIE UNAISHIJE NA RAFIKI ZAKO ? WEWE TU WANAKUKOSEA WEWE HUWAKOSEI? HIVYO WEWE NI MWEMA SANA???? ACHA HIZO WEMA FANYA WEMA

    ReplyDelete
  8. Wema wewe mtoto wa ki islam sijui sana sheria ya dini yenu, ila kwa sisi dini za kikafiri kama mnavyo tuita mtu akikusea na akataka suluhu ukakataa Thambi zako na hata akifa leo anasamehewa ila mzigo utabaki kwako, sielewi ramadhani imefika hata kama ufungi ila ni mwezi wa toba wewe hutaki kusamehe uko kwenye fungu gani? Jipange upya na samehe saba mara sabini.

    ReplyDelete
  9. sawa tu wen
    ma




    Sawa tu Wema kaza buti usiangalie nyuma .wanasema anayekuanza mmalize. kla mtu anahadhabu yake kwa mungu.naye aliyokuwa anakwenda kumfunulia x wako aliona heshiama eeh? usimsamehee wala nini.ye ndo ajiweke kwenye kiatu chako ndo aone kama angekua yeye angefanyaje. KIDUDU MTU HOVYOOO.



    ReplyDelete
  10. KAZA BUTI WEMA.HAKUNA KURUDI NYUMA ,UKIRUDI NYUMA TUUU NA WEWE UMESHA RUDI NYUMA.HUNAKOSA.MWACHE AKAE NA KIROHO CHAKE SI ALIONA RAHAAA KUFUNUA NGUO KWA X WA RAFIKI YAKE ALIONA UTAMUU EHHHH!! MWACHEE AENDELEEE KUFUNULIA TU. HAKUNA HATA MMOJA ANAYEJUA ATAKACHO KIONA KWA MUNGU. KAMA WEMA NA UPENDO ULISHAMFANYIA HATA HAKUVISAMINI.MBONA YEYE SI ANAPESA LAKINI KASHINDWA KUMTOA MUMEWE!!! SASA WEEEE WAKUACHE WEMA WA SEPETU.

    ReplyDelete
  11. Mdau 7:51 nimekupenda bure

    ReplyDelete
  12. Hasipomsamehe yeye ni Mungu ??Kafie mbali kule tushachoka na mashauzi yako changukwale wewe Wema sepe😠unajiona wewe mrembo sana falas wewe.wewe siyo mungu hadi umuhukumu mwenzako😠😈😞

    ReplyDelete
  13. KAJALA WEE MSAMEHE WEMA!!! MUNGU YUPO UPANDE WAKO!!!

    ReplyDelete
  14. halafu nasikia anautaka ubunge!!! mbunge gani huyu jamani asiyejua kusamehe!!!

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad