WEMA SEPETU Awachefua Mashabiki Wake..Baadhi Waamua Kumtolea Uvivu kwa Udhalilishaji Anaojitakia Mwenyewe



Wema Sepetu unawaumiza mashabiki wako.....najua hutapenda kuona maoni ya namna hii ila ni muhimu sana uone upande huu maana huo ndo ukweli halisi wa mashabiki wako hivi sasa. Hali si nzuri watu wako njia panda, umewachanganya...kama kweli unajali, wasaidie kwa kufanya mema. Ni wewe tu ndo unaweza kuondoa udhalilishaji unaoendelea si yeyote mwingine. @martinkadinda samahan naomba umzabe kofi moja la nguvu akili irudi ajue yeye ni nani anapaswa kufanya nini na watu wake wategemee nini kutoka kwake. How can we be Wema wkt yeye hayafanyi hayo mema??? We want to see more pics of #BeWemaFanyaWema not those stupid pictures zinazozunguka.... u

Wema Sepetu...Si unajua kuna kundi la watu wengi nyuma yako??? Najua picha nyingi unazushiwa kuwa kimahusiano na hao watu mwisho wa siku inakuwa ni kwa ajili ya kazi. Iwe ni kweli au uongo....UNAPITILIZA... ni kama vile unatuambia niangalieni au semeni msemayo niko busy natengeneza pesa....ni sawa kimtazamo wako na jinsi ulivyo.

Lakini kuna siku ulisema unachukia matusi au umechoka watu kukuongelea na yote mpaka watu wanaitukana familia yako....huwezi kufikiria why?? Why unakasirika??? Na matusi yale yote...Ni kwa kuruhusu hasa picha kama hizi either kwa makusudi au bahati mbaya wale wenye nia mbaya na wewe wanatumia kama chambo kukudhalilisha wewe na familia yako..... Ukisearch kwenye internet za aina hiyo zinatokea nyingi mpaka watu huamini ni kweli wewe ni mchafu kitu ambacho si kweli, hali hii Unaweza kukosa opportunity kubwa sana kwenye nchi nyingine sababu ya yale ambayo unaona ni sawa kwako!

Ukikasirika ni poa tu lkn nakwambia picha zako kama ni za kibiashara usichukue muda mrefu kabla biashara haijawekwa wazi la sivyo hata sisi tumechoka kukataza watu waache kutukana wakati wewe mwenyewe unaona poa tu, wengine hutumia hayo kuanzisha teams za kukutukana!! .
.
Ukweli ni kwamba wale wanaokupenda kwa dhati wanazidiwa nguvu na wale wenye lengo la kukuharibia....na hao wenye nia ya kweli na wewe hukaa pemben hawana ujasiri wa kusema lolote sababu wanaogopa.....Naomba Useme kitu kwa wanaokupenda, ili ijulikane atakayekiuka basi ni wale wengine waharibifu ambao ni wengi kwa sasa. Tunakupenda lkn kuna mambo mengine si ya kufumbia macho wkt wewe mwenyewe unaweza kufanya kitu, fikiria cha kufanya au kama huwezi potezea!!!

By Mrekebishatabia

Post a Comment

12 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Nyie watu mnajisumbua kuhusu Bi Wema, Huyu ni mama huruma anajulikana kila sehemu, heshima yake aliyokuwa nayo before imeshuka kutokana na maisha anayoishi ya ustaa. Kama ameshazoea kutiwa vidole hadharani na vijana wadogo, kutukanwa hovyo na akaridhika,basi ni kwamba hawezi kujirekebisha. Mwacheni afir***eeeeeee

    ReplyDelete
  2. This bitch doesnt give a fuck about anything all she want is to be star hahahahaha if to be star is like that mt dear unapotea.. Huyo Kim unayejitia kumuiga hatoki na vitoto vidogo like u tena ukome kujifananisha na Kim mana hata hakujui na unamharibia tu sifa yake.. Hebu angalia all the men ambao wamedate na kim hahahaha that girl is a really star but u Wema are mataptap.. Big G.. Demu hujionei huruma.. Na hiyo team yako huwajali wala nini.. Yani natamani siku wakupotezee halafu ndo siku uache misifa yako. Eti star star huna sifa yamaana we uchafu tu.. Angalia Kina flaviana jokate wanajitambua Magese wanajitambua wanafanya mambo ya maana lkn wewe uwiiii if really feel sorry for ur Mama. Ulizaliwa kwa bahati mbaya unaishi kwa makusudi. Yani wewe dada utakufa kwa ulimbukeni waustar halafu hakuna mwanaume atakayekuoa halafu unapenda vitoto vidogo hivi wewe ni mshamba wa mboo eeeeh daaaah

    ReplyDelete
  3. Mdau 2:23 addiction kubwa ya Wema ni mb**. Halafu alivyo mpumbavu akidinywa mara 1 tu anajibatiza na kujiita mchumba. We fikiria hata CK alikuwa anamwita mchumba wakati anajua jamaa hatakaa akaoa kicheche kama yeye. To prove her wrong alivyomwanagana nae akachukua most of his assets. Angalia ma miss waliopita wanavyojitambua yeye speciality yake ni kuvua chupi. Halafu analalamika kuwa mgumba.! Mtoto gani atakubali au atavumilia kusikia mama yake anaitwa kicheche?!?? Worse enough familia yake inampa misifa ambayo inazidi kumharibu. We kumbuka speech ya mama ake siku ile ya birithday yake. It goes to show like mom like daughter....

    ReplyDelete
  4. Wema Sepetu hana lolote, wanaomsifia na kujifanya kuwa team Wema, ni malimbukeni kama yeye...Suckin' a dick, fuck around, is her job apart from acting. yeye hajari hata vichochoroni twende!

    ReplyDelete
  5. naomba hata kama ni kazi, don't put it out there, it ruining your image picha na uchafu uchafu.

    ReplyDelete
  6. Halafu team yake wanaforce watu kuonA like Wema is most Beautifu girl in Tz hahahahahahahahahaha Wema your not cute at all wakawaida sana tena sana hiyo team yako wanavyokudanganya ndo nawewe unajiona hivyo.. Uso umenenepeana unavaa viatu virefu kutembelea hujui kazi kusukumana na kaka wawatu Yani ni unajichoresha hujui.. Hakun mwanaume mwenye akili zake atakayemuoa Wema mmmmh huyu dada hapana ustaa utamuu

    ReplyDelete
  7. Halafu kila siku something big is coming something big is coming hahahaha Labda hiyo mipicha wapi lipstic Wema?

    ReplyDelete
  8. WAHENGA HATA HAWAKUKOSEA WALIPOSEMA"NGOMA INAYOVUMA SANA.............?MTAMALIZIA

    ReplyDelete
  9. Halafu wema muongo sana Jamani loo mara aseme kaolewa mara anaenda international mara van vicker anamtaka. Wema needs help. Huyo ck anaemtangaza kuwa mchumba mbona kaingia mitini mpaka leo.? kiboko yake zari na antie ezekeiel maana wamemnyoosha hasa muoneni ananyojikombakomba kwa antie. Wazimu wake umechangiwa na wanaomwagia misifa ya kipumbavu mpaka anachachawa. Mange anamchora kwa misifa feki wakati mange mwenyewe hajitambui. Full shida halafu anarusha picha kuonyesha yuko fresh. Familia ya wema wakiongozwa na mama yao wanampotosha tu mwisho kawa jamvi la wageni kama si dustbin.

    ReplyDelete
  10. KAZI KWELI KWELI MIYE NAPITA NJIA TU!!

    ReplyDelete
  11. Muoneni anavyochekelea baada ya kukojolewa. Ptuuu

    ReplyDelete
  12. WEWE ACHA UONGO!! MLIANZA NYIE KUSEMA KAOLEWA NAYE AKAONGEZEA UJINGA WENU. MXXXXXXX WEMA AOLEWE TUSIJUE? NA ULISIKIA LINI KASEMA VAN V KAMTAKA, SIYO NYIE MLOANZA KUSEMA ANATOKA NA VAN V. KUMBE WAKO KAZINI.

    UJINGA WAKE NI KURUSHA HIZO PICHA ZA AJABU HATA KAMA NI KAZI.


    MWACHENI NYIE MNAFANYA MANGAPI LETENI HAPA TUYAONE.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad