Wema Sepetu na Mpenzi wa Linah Kunani?? Picha yao ya Kimahaba yanaswa Mtandaoni

Wema na Mpenzi wa Linah
Nadhani hatuna haja ya kueleza zaidi ni maeneo gani hiyo picha itakuwa imepigwa. Wewe mwenyewe unaweza kuwa shahidi wetu. Pichani ni mwanadada wetu Wema Sepetu na kijana aliyetajwa kuwa ni mpenzi wa mwanamuziki linah sana.  Hatujui kinachoendelea mpaka sasa, yawezejana ni video mpya inafanyiwa promo, yawezekana ni tangazo la TV au bidhaa mpya mtaani na wala haituhusu,  Ila tumeona si vyema tusipowaletea kinachojiri hivi sasa kati ya hao wawili.

Sisi yetu macho.

Tanzania Hottest Celebrity Gossip News

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Midomo yenu inafanana sana mmependeza Lina mbona kashtuka?

    ReplyDelete
  2. Lazima ashtuke chezea homa ya jiji Hahaaa chaaaaaa mtatafuta sana kiki mwaka huuuu

    ReplyDelete
  3. Dustbin yaendendelea..Katoka Ommy kaja Idrisa kaja mnamibia sasa kifaa cha Lina. Who is next..???

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad