Wema Sepetu On The Red Carpet Of Kili Music Awards 2015


Here is superstar Wema Sepetu's look on the red carpet of Kili Music Awards 2015. clear photos will come later on...........

Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. kajala ndio kapendeza na jokate sio na hiyo rangi ya ccm halafu kaanza kujichubua tena

    ReplyDelete
  2. Ah!Mama la manyangumi weee!Utafikiri ni mtu na full heshima zake vile kumbe duh.....

    ReplyDelete
  3. mahasidi wakumbwa! kama Wema nyangumi wewe utakuwa papa. mumkome mnaumia mkapa mnashindwa kujizuia, mtakufa wima.

    ReplyDelete
  4. WEMA KAPENDEZA SANA. MTEHAYARI NDO MAANA MNAMTUKANA. LIMEWASHUKA SHUUU!

    ReplyDelete
  5. rangi ya ccm ni nzuri sana ndo maana dunia nzima inajua. be wema fanya kama.....

    ReplyDelete
  6. kwani alilala na baba yako mpaka umwite si mtu wa heshima? tutolee utoko wako hapa.

    ReplyDelete
  7. Anonymous 6:21 Wema kalala na baba ako wewe. Kwani hujui leo kama baba ako hachagui. Sijui anajaribu kumuiba bwana wa nani hapo. Hahahahahaha

    ReplyDelete
  8. Rangi ya ccm Tamu ndomana inakuongoza

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad