Wolper: Mimi ni Freemason Kitambo tu

Mtoto mzuri katika tasnia ya uigizaji Bongo, Jacqueline Wolper Massawe ‘Twiga wa Jangwani’ amesema haoni sababu ya kuukana uanachama wa taasisi ya Wajenzi Huru (Freemason) kwani ni dini kama zilivyo zingine na kama katiba inavyoelekeza, kila mtu anayo haki ya kujiunga na dini au taasisi yoyote ya kuabudu kulingana na matakwa ya imani yake.

Akiongea na mwandishi wetu, Wolper alisema ni kweli yuko katika kundi hilo huku akishangaa watu kustaajabu kuona mtu yuko Freemason wakati walioanzisha dini hiyo ni binadamu kama wengine.

“Freemason si ni taasisi au dini kama zingine? Kuna ajabu gani mimi kuwa mwanachama? Tena nataka nikuhahakikishie kuwa, nimekuwa muumini halisi wa Freemason kwa muda mrefu sasa,” alisema Wolper.

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Unajishaua tu wakati unategemea mabwana ili uishi mjini mxiuuu kwa lipi kwanza ulilo nalo

    ReplyDelete
  2. Janajike ogo hili, cheki alivyo na dhiki lol. Ila simlaumu maana ndio tatizo la division 5, elimu nehinehi hata ku gugo anashindwa anashabikia kuwa ignorant. Hujafikia hata robo kuwa supreme being, labda feemason ya umalaya.

    ReplyDelete
  3. MMh freemason siyo dini wajameni acha uongo. SEE - Freemasonry is one of the world's oldest and largest non-religious, non-political, fraternal and charitable organisations. It teaches self-knowledge through participation in a progression of ceremonies.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Free mason ni din but mungu wao sio mungu wa watu wote wanaabudu shetani they are dead people cos they dont own their souls

      Delete

Top Post Ad

Below Post Ad