Zarina Hassan A.K.A Zari the boss lady mama kijacho wa Diamond Platnum hajawahi kumpeleka mpenzi wake huyo nchini South Africa anakoishi.Sababu Zari anaishi nyumba moja na mme wake Ivan aliyezaa nae watoto wa tatu.Ushahidi wa kuishi pamoja ni hizi picha ambazo hata mahakamani ushahidi wa picha unakubalika.Swimming pool tiles zake za pembeni hapo juu ni zilele zile za hapo chini alipokaa mme huyo wa Zari.Pili rangi ya ukuta alio chuchumaa Zari hapo juu ni ya creem sawa sawa na ukuta wa chini aliokaa mme mwenza wa Diamond Platnum.Tatu picha ya chini Zari akiwa parking rangi za ukuta ni sawa na nyumba aliyokaa kibopa huyo.
Zari za Boss Lady Anaishi Nyumba Moja na Ivan Aliyekuwa Mmewe Huko South Africa..Ushahidi Huu Hapa
17
June 08, 2015
Tags
bado tutaona mengi mwaka huu.
ReplyDeletewatu wakisema ohhh wivu, kwani Domo hajui kama anakula makombo ya Ivan.
ReplyDeleteaibu ya mwaka, kujisifia koote kumbe bibie bado anamuhitaji x wake.
ReplyDeletesasa cc tufanyeje
ReplyDeleteSIO MBAYA SI ANAWAHUDUMIA WOTE WAWILI? ILA ANGEKUWA WEMA UDAKU UMNGEONGEZEKA.
ReplyDeleteHizo picha zakitambo acheni uzushi
ReplyDeleteUmbea tu picture ya Ivan ni ya zamani ya Zari ni ya sasa tatizo nini
ReplyDeleteKwaiyo bado wanabanduana
ReplyDeleteooh wema hajatulia ooh!!! haya sasa mfupa ulimshinda fisi panya wa tandale ametafuta hadi ...........
ReplyDeleteusenge huo, shida nini sasa, mnataka kusema Mumewe Zari hana wivu sio. yaani anajirusha na Diamond huku yeye yuko kimya tu, acheni hizo kama hakuna mada kakojoeni mlale
ReplyDeletemdau hapo juu anonymous june 8, 2015 at 7:11 PM umesema sawa, 'ni picha za zamani ' napita tu.
ReplyDeleteUDAKU ACHANI KUHARIBIA WATU MAMBO YAO MBONA HIZO PICHA NI ZA KITAMBO!!!
ReplyDeleteUvivu wako kila siku mpaka nikuonyeshe ubuyu ulipo. Hivi unafikiri Lemutuz mjinga kuweka hayo kwenye blogu yake, hebu tafuta picha ya Lemutuz na Ivandon wakiwa Dar, ipo sijui wapi fanya hiyo homework mwenyewe na hii topic Lemutuz kaiweka baada ya Ivan kuja Dar na shopping ya mtoto kafanya, Heheheheheheeeee mtoto ana baba 2 sijui 3.
ReplyDeleteTHIS IS FROM THE PAST! WHAT ELSE DO YOU HAVE?
ReplyDeleteNyie wote mmeshindwa kugundua kuwa hizo picha ni tofauti kabisa
ReplyDeleteSasa kama wanabanduana wee unaona wivu? Bac nenda ukabanduliwe wewe!
ReplyDeleteULIZA KWA SASA DAI YUKO WAPI SIYO MNAANDIKA KITU AMBACHO HAMKIJUI, KWELI USILOLIJUA NI USIKU WA GIZA
ReplyDelete