Akamatwa na Mamilioni Akitaka kuwa Onga Wajumbe wa Halmashauru Kuu Dodoma

Mtu mmoja amekamatwa mkoani dodoma na maburungutu ya fedha hotelini, inasemekana alikuwa na lengo la kuwahonga wajumbe wampitishe mmoja wa gombea uteuzi..nani kamtuma???
Updates Kutoka Jamii Forums:

Hapa St. Gasper Hotel ambapo ilikuwa ni kambi ya Edward Lowassa sasa hivi zimekamatwa fedha zinazodaiwa kuandaliwa kugawiwa kwa wajumbe wa NEC.

Aliyekamatwa kageuka, anasema katumwa na Membe

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Muongo huyu, katumwa na Lowasa au kambi ya Lowasa, kuja kutuaharia nchi yetu tu, kila siku tuwe masikini wao watajilike, kwa ufisadi

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad