Baada ya Ushindi wa Tuzo, Diamond Atupa Dongo kwa Jokate, Jokate Naye Ajibu

~~Usiku wa jana kuamkia leo July 19 2015 Diamond Platnumz kanyanyua ushindi mwingine kwenye Tuzo za MTVMAMA2015, zilizokuwa zikitolewa Durban Africa Kusini.

Leo Diamond alipost Video inayomwonesha staa wa Mitindo Bongo, mrembo Jokate Mwegelo ‘Kidoti’ akicheza wimbo wa ‘Mdogomdogo‘ alafu akaandikia hivi >>>> ‘Mbona Bado, Mtanyooka tu..‘ >>>> @ diamondplatnumz

Baadae Jokate nae akaandika kwenye ukurasa wake wa @Instagram kuhusu video hiyo ambayo alimpost Diamond:

Tuki-support mtu ndio kama hivi matokeo yake mtu anatumia baadae kukudhalilisha. Hii video aliyo-post kwanza ni TBT kama sijakosea mwaka jana mwishoni nilikuwa sehemu na my friends @bikira_wa_kisukumaakani-record na kumtumia@diamondplatnumz bila mimi kujua. Kiukweli sijui kwanini walifanya hivyo. Nikaja kujua baadae sana na nikaona sio big deal cause kila mtu anapenda mziki na sio dhambi kucheza mziki wowote uupendao.

Ila kitendo cha@diamondplatnumz kwenda kuitafuta huko ilikokuwa hii video clip na kui-post leo najiuliza maswali mengi
1, anataka ionekana kama nilikuwa nashangilia ushindi wake? Which is not bad hakuna ubaya hapo kama unaamini ushindi wake ni sifa kwa taifa ila
2, Kwanini a-post na caption ya Na Bado Mtanyooka? Ili amkomoe nani? Au kwasababu niko karibu saaana na @alikibaofficialanatafuta kutuchonganisha? Ili iweje? Mimi I believe life goes on na kila mtu ana uhuru wa kumpenda au kuwa karibu na yule apendaye na kum-support ndio maana hata mimi nimekuacha na your new life
3, Pengine ni kweli anaendeleza zile hulka zake za kudhalilisha wanaweke aliokuwa nao waonekane sio kitu just because hawako na diamond platnumz chibu dangote. Which to me is just dead wrong.

@diamondplatnumz hizi sio tabia tunazozitegemea kwa mtu anayejisema anakomboa mziki wa Tanzania sio kwa kuweka visasi na fitna zako wazi wazi hivi. Unatu fanya tukose imani nawewe zaidi na tunaogopa ku-support cause hukawi kutugeuka.

Kuwa tofauti basi, onyesha mfano kwamba kweli hupendi beef unapenda mziki wa Tanzania uendelee ila kwa ulichoki-post unaonyesha wazi UNA visirani na hutaki mema unatafuta drama, kiki, vurugu unataka kila siku uwe wewe tu ambazo kiukweli mimi binafsi siziwezi utaendelea kushinda wewe tu katika hilo na sitashindana nawewe katika hilo kwasababu siwezi nawewe unajua kama ulivyoniimba mimi mpole, sinaga maneno ( ila kwenye kazi ndio nakuwa mkali kama pilipili ). Ila ungetumia busara kidogo.

Just move ON kiroho safi. Naomba pia nitumie fursa hii kukupongeza kwa tuzo yako ya MTV ila@babutale hata wewe ndugu yangu? Is this how tunaendeleza so called uzalendo?

Inshallah Kheri lakini yote maisha wanyonge sisi iko siku Mungu atatunyanyua.
Tags

Post a Comment

11 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. huyo hana jipya sasa kama likiuno lake ligumu asiambiwa, anywe siki atulie

    ReplyDelete
  2. usiropokwe kama umekunywa uji wa moto, soma kwanza Domo alivyoanza kumuandika kisha usome jojo alivyomjibu, kunguru we!

    ReplyDelete
    Replies
    1. wewe ndiye uliyekunywa uji wa moto paka nguruwe we, asiambiwe yeye ni nani? au anakupa mbunye yake? shenzi kabisa

      Delete
  3. NAMSHANGAA SANA DAI, BADO ANAMAUMIVU NA MAA X WAKE MPAKA LEO. SASA WASIWE NA FURAHA NA WASICHEZE NYIMBO YAKE. AACHE UTANDALE.

    ReplyDelete
  4. kachaka kumuandama Wema, sasa kaanza na Joket kazi ipo naona zee lake halimfuraishi vizuri.

    ReplyDelete
  5. achana nae Jojo, kazoea kiki.Domo hawezi kuishi bila kutafuta wa kumuongelea anatabia za kike si kalelewa na mama tuu.

    ReplyDelete
    Replies
    1. we mshenzi umelelewa na nani kama siyo mama? acheni upuuzi wenu huyo dada si alijishebedua kuwa yeye ndiye aliyemkosesha DAI tuzo za kili? sasa yeye ndo nani asiambiwe? kama alijifanya kimbelembele mwacheni aambiwe ukweli. asitafute huruma

      Delete
  6. Ulichofany Diomond ni sawa kabisa, maana tangu mwanzo walionekana kutaka kumsupport mtu wa taifa lingine mapa akawachana kuwa kwa nini msimpe kula mtu wa nchi yenu, hayo maneno ya Joketi ni kujikosha tu wote ni walewale tu yaani ni haters tu. watanyooka tu Hongera sana mtoto wa tandale kwa kuitangaza Tanzania

    ReplyDelete
  7. Siku huyu domo akiacha ushoga ataendelea sana tatizo kitu kidogo anajiona kafika akumbuke na vipo vingine ataomba sapoti ila simshangaii tatizo kwao tandalee na elimu duni

    ReplyDelete
    Replies
    1. nafikiri shoga ni wewe na baba yako, kwa nini umtukane mwenziyo wakati hakuna kibaya alichosema? kwanza hana shida na wewe wapo wanaompigia kura hata hizi za ndani-koma kabisa kumtaja taja

      Delete
  8. kwani shda ni nin watu ku jam as if mnalipwa cant u mind ur own life......

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad