Mbunifu wa mavazi nchini, Sheria Ngowi amesema mafanikio aliyoyapata yametokana baba yake mzazi aliyemuunga mkono kwenye kila japo analolifanya.
“Baba yangu alikuwa ananipa uhuru wa kufanya kila kitu nilichokuwa nataka kufanya,” Ngowi ameuambia mtandao wa Dar City Center.
“Hata nilipotaka kuwa mbunifu wa mavazi alinipa support, pesa ya kusokota dreads na kutoboa masikio alinipa yeye.”
Bado pesa ya jambo moja nayo atakupa subiri tuu!
ReplyDeletejambo gani? si utajeeeee..
ReplyDelete