Baba yangu alinipa pesa ya kusokota dreads na kutoboa masikio – Sheria Ngowi

Mbunifu wa mavazi nchini, Sheria Ngowi amesema mafanikio aliyoyapata yametokana baba yake mzazi aliyemuunga mkono kwenye kila japo analolifanya.

“Baba yangu alikuwa ananipa uhuru wa kufanya kila kitu nilichokuwa nataka kufanya,” Ngowi ameuambia mtandao wa Dar City Center.

“Hata nilipotaka kuwa mbunifu wa mavazi alinipa support, pesa ya kusokota dreads na kutoboa masikio alinipa yeye.”
Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Bado pesa ya jambo moja nayo atakupa subiri tuu!

    ReplyDelete
  2. jambo gani? si utajeeeee..

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad