Banza Stone alivyoita Waandishi wa habari kukanusha kifo, kusema anachoumwa na mengine. (video)

Mwimbaji wa longtime kwenye muziki wa dance Tanzania Banza Stone alikutana na Waandishi wa habari wachache kwa ajili ya kukanusha taarifa za kuzushiwa kifo, maisha yake kwa sasa na kilichokua kinamsumbua kiafya.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad