Breaking News;Kituo cha Police Ukonga Staki Shari Chavamiwa na Majambazi..Wauwa Tena

Kituo cha polisi Staki Shari Ukonga kimevamia na majambazi sasa hivi.
Kuna askari na waliouawa.
.........................
wakuu,niko hospitali ya Muhimbili sasa hivi imeletwa miili ya askari police watano wa kituo cha staki shari wamepigwa risasi na kuporwa silaha.
...............................
So far idadi ya waliopoteza maisha ni 6 bila kujali ni askari au majambazi. Ila kuna hali ya taharuki sana maeneo ya ukonga hadi FFU wameamshwa kuja kutia nguvu
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad