Diamond Azidi Kuwaziba Watu Midomo...Ashinda Tuzo Nyingine Usiku wa Leo Huku Afrika Kusini '‘African Achievers Awards’

Msani wa bongo fleva Diamond Platnumz ameshinda tuzo ya ‘African Achievers Awards’ katika tuzo zilisofanyika Afrika kusini, Tuzo aliyoshinda Diamond ni ya Artist of the Year ‘Msanii Bora Wa Mwaka’

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. safi sana 👍@Diamond wenye roho mbaya watasema mengi hahaha na mwaka huu watajinyonga na makamasi.songa mbele kijana

    ReplyDelete
  2. kakuziba mdomo wewe Udakuz, unaelamba matako ya dai.

    ReplyDelete
    Replies
    1. acha ujinga wako wa kutukuna watu kwa nini usimsifie kama amefanya vizuri?

      Delete
  3. na bado watanyoka tuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu...........

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad