Diamond Platnumz Adai Jokate ni Mnafiki Sana...Ananipongeza Leo Baada ya Kushinda Wakati wa Kupiga Kura Hakuwa na Habari Nami wala Kunipost...

Diamond Platnumz Akiojiwa na Clouds FM kuhusu Video aliyopost jana ikionyesha Jokate Akicheza Wimbo wake na Kuandika "Mbona Bado, Mtanyooka tu".Amesema kuwa yeye amempost kwa nia nzuri tu na si kumzalilisha amedai yeye mara nyingi huwa anawapost watu wakicheza nyimbo zake hivyo kumpost Jokate kwake ni Kawaida...
Pia ameulizwa kuhusu maneno aliyotumia kwenye video hiyo kuwa ni ya kichokozi Diamond akadai kuwa yeye ni Mswahili wa Tandele kuandika Maneno haya ni kawaida kwake kwani amekuwa akiyatumia katika post zake mbali mbali....lakini leo ametumia kwa Jokate basi watu wengine wamepanic.....

Mwisho Diamond Akafunguka ya Moyoni kuhusu Jokate na Kusema kuwa si mzalendo kwa vile anajidai kumpongeza leo baada ya kushinda wakati kabla ya kushinda yeye na wenzake walikuwa Bize wakishawishi watu wampigie kura Davido...Amedai hata siku moja hakuwahi kumposti  kwa page zake kumpa sapoti hivyo asijadai leo kulia lia....

‘’Nikasikia kuwa kasema kuwa ndiyo maana wanaogopa kusapoti wasanii wa Tanzania kwa sababu wakisapoti wanadhalilishwa yeye mpaka naenda kuchukua tuzo ya Mtumbuizaji Bora yeye amenisapoti nini hajawahi kunipost hata tuzo moja sasa hivi ndiyo anajishaua eti ananipa hongera kwa tuzo ningemuona wa maana angepost watu wapige kura na kuwahamasisha ili ushindi urudi nyumbani lakini kwa chuki alizojazwa pasipo na sababu na roho mbaya aliyowekwa na watu imemfanya ashindwe kunipost na kutengeneza chiki za chinichini wakidhani wakiwapigia kura Wanageria mimi nitakosa tuzo Mungu amewalaani mimi nimeshinda halafu anajifanya anatoa hongera eti wanasapoti muziki wa Tanzania au kwasababu wameona tuzo imekuja ndiyo wanajifanya wanatoa hongera tuache unafiki,’’alimalizia Diamond.
Tags

Post a Comment

18 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. safiiiiiiiiiiiiiiiii kabisa umetoa ya moyoni, walikuwa busy sana kuwaambia watu wapigi kura kwa davido, na davido akalazimika kuwaambia watanzania kwamba hataki kura zao bora walivyoshushuka

    ReplyDelete
  2. Diomond wewe ni start ok, lakini una weakness upande wa madem wakikupiga chinini hukubali ukweli unatafuta bifu kimtindo stay positive niger na move on na maisha yako, kutoka Tandale sio hoja ya kuishi kitandale jaribu kuishi ki super star no zarau waka ku wa fallow behind ma x girls friends wako.

    ReplyDelete
  3. hata Dai ni mnafiki no.1

    ReplyDelete
  4. tuzo yenyewe ya kukata viuno, kelele za nini?

    ReplyDelete
    Replies
    1. Heri yeye analipwa wewe unayesumbuka na keyboard wakati huna faida kwa wazazi wako njaa!

      Delete
    2. yako ipo wapi mbna kila siku kitandani unakata viuno

      Delete
  5. mwanaume anaedinda kutwa vijembe kama hanith. haipendezi hata kidogo

    ReplyDelete
  6. HIYO TUZO DOMO ANGEMPA IYOBO, NDO ANAEKATA KIUNO VIZURI KULIKO.

    ReplyDelete
  7. Almasi anapenda kiki, na bado anahasira na x wake, kwanza alimwita jojo makombo. kwani yeye anawasapot wenzie? anapenda awe juu tuu wakati anahonga kila mahari aonekane yuko juu.

    ReplyDelete
  8. huna lolote tuzo bora ya kukata kiuno isikupe bichwa wala nn, unahasira sana na x wako. Shangazi hana radha tena.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mapovu kisa hupewi dudu hebu tuondolee stress za kimalaya humu pyeeee

      Delete
  9. UMEHONGA SANA DAI ULIAHIDIWA KUPATA 3. HATA HIVYO SHUKURU KULIKO KUWAMALIZA HASIRA MAA X WAKO.

    ReplyDelete
  10. tena mpake huyo mnafiki mkubwa na wenzake lol.eti kazalilishwa au kajizalilisha mwenyewe.😂 kukusapoti leo wakati waushindi wakati uliitaji sapoti zao walikimbilia kusapoti wanigeria sasa anaona umekuja na tuzo anajifanya kupongeza mnafiki mkubwa wewe Jokate loh huna hata haya.alafu mm sijaona uzalilishaji wowote kwa hiyo video .mtakufa na roho mbaya lol wivu tu

    ReplyDelete
  11. acheni roho mbaya jokate wivu na roho mbaya unafiki mtupu bora dai umetoa ya moyoni.

    ReplyDelete
  12. tena mpake huyo mnafiki mkubwa na wenzake lol.eti kazalilishwa au kajizalilisha mwenyewe.😂 kukusapoti leo wakati waushindi wakati uliitaji sapoti zao walikimbilia kusapoti wanigeria sasa anaona umekuja na tuzo anajifanya kupongeza mnafiki mkubwa wewe Jokate loh huna hata haya.alafu mm sijaona uzalilishaji wowote kwa hiyo video .mtakufa na roho mbaya lol wivu tu

    ReplyDelete
  13. Diamond jaribu kuwa behave kama mwanaume na si vinginevyo. Hukuwa na haja yoyote ya kucoment tabia zako ni za kiswahili mno hufai kuws staa kwa sababu huna tabia za mastaa.originally from ujiji born in tandale mie sishangai

    ReplyDelete
  14. za kwenu za kulabwa tigo ziko wapi? bora yeye kapata ya kukata viuno, acheni ushenzi wenu wa kudharau vya watu wakati nyinyi hamna kitu, kidoti hata yeye ni mnafiki alipokuwa anahamasisha watu kumpigia davido alikuwa anafanya sawa? acheni hizo kuweni wastaarabu na fuateni ya kwenu muone kama mtayaweza

    ReplyDelete
  15. ukiona mtu anahisi wenzake ubaya basi YEYE NDIYE KIONGOZI WA HUO UBAYA.
    MAKOMBO ALISEMA NANI? DIAMOND ARE FOREVER ALIMDHALILISHA NANI? HAAAAA

    DIAMOND BILA DRAMA HAKAI JUU

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad