Diamond Platnumz Akutana Na Mwanamuziki NE-YO..Wapiga Stori ...Navyomjua Diamond ni Mzee wa Fursa...Hapo Tegemea Kitu

Haya sasa! Ne-yo na Diamond washakutana huko... Na kama tunavyomjua Diamond ni mzee wa Fursa... tutegemee kitu kikubwa kuanzia sasa..

Natamani kila Mwanamuziki hapa Tz awe inspired na mafanikio ya Diamond tupate hata wasanii 20 watakaowakilisha Tz ili tuje tuidominate Africa kimuziki maana inawezekana, kama vile 2face na Psquare walivyotengeneza njia ya Muziki wa Nigeria kuiteka Africa basi hata Sisi tutafika huko na hii ni kama tu tutasupport wanamuziki wanaofanya Vizuri nyumbani.

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kwanz nyiny udaku mukiacha upendeleo na kuchonganish wanamzik bas kila kit kitakuwa fresh. TrulyTanzania has many young talented singers who can do well in the international music without mentioning their names.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad