DIAMOND PLATNUMZ Alewa Sifa na Kutukana Hadharani...

 Baada tu ya Kuchukia Tuzo ya MTV Mama Katika Kipengele cha Mtumbuizaji Bora Africa Diamond  Platnumz Alipiga Picha hiyo hapo juu akiwa na Uongozi wake, Pichi hii imeleta Hisia Tofauti kwa Mashabiki wake Huku Wengine Wakisema Hiyo ni Ishara ya kutukana.......
Je wewe Una maoni gani juu ya Alama hiyo ya Kidole cha Kati ?

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. bado hajajitambua na hiyo ndo fadhila kwa wapiga kura wake wote

    ReplyDelete
  2. This guy needs to get the test of his own medicine

    ReplyDelete
  3. soooooo chidrish, hivi wewe unajua kwamba ukifa leo utaenda kuzikwa '6' na sand ya shilingil elfu 2??? you not gonna carry all your wealth with u, so buddy be humble na mshukuru mungu, those figures and all that aren't gonna fly on front of Allah. siku ya siku yule mlala hoi na were tajiri utakuwa the same level. AAAcha mashauzi mototo kaaaa. What happened to our mbagara kid who we know and love him soo much????? what happened?????

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad