Diamond Platnumz na Davido Ngoma Droo Tuzo za MTV Awards....

Wanamuziki Diamond Platnumz na Davido Wameibuka Videdea Baada ya Wote Kushinda Tuzo Moja Moja Katika Categories Tofauti ....Mashabiki wengi Africa Macho yalikuwa kwa hawa watu wawili kuona yupi atachukua tuzo nyingi zaidi..lakini wote wamepata tuzo moja moja ...Diamond Amepata ya Mtumbuizaji Bora Africa Wakati Davido Amepata ya Mwimbaji Bora wa Kiume Africa...

Hongera Sana Kwao....
Tags

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. kelele nyiiingi, tuzo moja. sasa tungojee ya mtoto atakapozaliwa

    ReplyDelete
  2. bora imepatikana moja. tusinge lala kwa mafumbo hongera zake.

    ReplyDelete
  3. SHANGAZI KANYWEA, ALIFIKIRI BWANA ATAPATA 3. KAMA ZA MWAKA JANA.

    ReplyDelete
  4. Bi kizee hakumpigia promo vizuri, uzungu mwiingii, na matusi ya mafumbo, angekuwa Wema angepata kama za mwaka jana ndie alie fanya kazi kabla ya kuachana.

    ReplyDelete
  5. angalau matusi ya madira yatapungua huku na yeye anayavaa, alifikiri ki intanation ndo atapata3.

    ReplyDelete
  6. Hongera D binadamu hawana jema walikuwa wanasubiri akose wamzomee limewashuka ooh kapata moja wapelekeni wasanii wenu mnaoana bora wakapate tano mxiuuu! Kama mnaona kazi rahisi ooh Wema Ana nyota mbona huyo Chamelion hakupata Na alimpigia debe hakupata akatumie hiyo nyota yake akapate ubunge.

    ReplyDelete
  7. wewe 1.31. usilinganishe Wema na Ajuza, ametutukana sana wa tz, au umekuja mjini leo? dai alitegemea kupata tuzo zaidi ya moja, mwishowe kamvaa joketi kwa hasira. kajambe kuleeee

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad