Dr Slaa Kathibitisha Kuteuliwa na UKAWA

Baada ya jina la katibu Mkuu wa Chadema Dk Wibroad Slaa likiwa limeteuliwa na UKAWA kuwa mgombea wake wa nafasi ya Urais katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba.

Dakika chache zilizopita kwenye ukurasa  wa @twitter wa Dr Slaa kathibitisha kuteuliwa na UKAWA.


“Nashukuru UKAWA kwa imani kubwa. Kazi ya mabadiliko iliyoanza 1992 kwa vyama vingi imebakiza miezi michache kushinda. Kura yako ni ukombozi“ –  @willibrordslaa

Nashukuru UKAWA kwa imani kubwa. Kazi ya mabadiliko iliyoanza 1992 kwa vyama vingi imebakiza miezi michache kushinda. Kura yako ni ukombozi.
Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Matatizo ya watanzania ulipoteuliwa kuwaondolea ni tofauti Slaa wa enzi zile sio wa leo changamoto za wakati ule sio za leo watanzania wa mwaka 2005 sio wa Leo 2015 notsi za za 2005 hazijibu changamoto za leo 2015 jipange vizuri

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad