Dr Slaa: Nikiwa Rais Nitamtia Magufuri ndani kwa Kuuza nyumba za Serikali

Dr Slaa akihojiwa na Radio five ya Arusha Jana jioni nini maoni yake kuhusu uteuzi wa Magufuri kuwania Urais.

Ameongelea mengi lakini amesema iwapo UKAWA wakimpa nafasi na Watanzania wakampa kura za kutosha kushinda Urais atamtia Magufuri ndani ili kujibu tuhuma za uuzwaji wa Nyumba kwa bei ya kutupa.

Source: Radio five, Arusha
Tags

Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. UNA BAHATI MATUSI HAYARUHUSIWI MTANDAONI YAANI NAKWAMBIA UNGEYAOGAAAA..................IKULU SIO YA BABAAKO UTAISHIA KUONA JENGO TU HUTAINGIA HUMO NA HATA MAGUFULI SIO BOYA KAMA WEWE HUTAKAA KUMFUNGA NG'OMBE WA MAZIWA WEWE.............SILIPENDIIII

    ReplyDelete
  2. Tupishe sieee,huna lako jambo...kazi kusaka kashfa tu ...ww una usafi gani? mtaisoma number na ukawa wenu uooo

    ReplyDelete
  3. Padre umeishiwa, ukawa hamna ngoma wala nyimbo mpya!!
    Magufuli ndio habari ya mujini.
    MTASUBIRI SANA TU

    ReplyDelete
  4. Nawewe ujibu tuhuma zako kwanza, kwa nini umeiba mke wa mtu wakati mapadre hamruhusiwi kuoa. Kama wewe ni msafi, kwa nini uliacha upadre? Ili uibe wake za watu?

    ReplyDelete
  5. huna lolote si mpaka upate kura, nani akupe wakati mnahubili demokrasia na wagombeaji kila wakati ni nyinyi tu? akijitokeza mwanachama mnanuna na kumfanyia mizengwe ili ahame chama hovyoooooooooooooo

    ReplyDelete
  6. Hizo kura za kukuingiza ikulu atakupa nani? Sura zilezile miaka nenda miaka rudi HAMUWACHI, TUMEWACHOKA, HAMNA JIPYA!! endeleeni kusubiri....................

    ReplyDelete
  7. HUNA JIPYA MBULU WEWE MTABAKI NA CHAMA LENU LA UKOO

    ReplyDelete
  8. Jamani tulieni kwanza tuone JK alianza kwa mbwembwe hizi watanzania tukaunga mkono 80% mwishowe ikawaje ? majibu mnayo ebu tufanye maamuzi mie naona ili Magufuli afanye kazi vizuri tumuunge mkono kwa kupeleka wambunge wengi wa upinzani Mfano KENYA ndo maana Uhuru ana deliver Ni maoni tuuuuuuuuuu!

    ReplyDelete
  9. hao wabunge wa ukawa wamefanya nini? kila siku hoja binafsi wakati wana majimbo? hovyo sana hawa

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad