Kwa nini lowasa aliitwa fisadi, hii ni kwa sababu yeye kama waziri mkuu, msimamizi mkuu wa serikali alitakiwa akemee inshu zote za richmond, lakini, yeye alipata shinikizo kutoka kwa Mkulu. Ndiyo maana Kuepuka Mkulu asianguke ilibidi Lowasa ajiuzuru. Vinginevyo Mkulu angetawala Miaka mitatu tu, Na serikari yake ingehanguka. Sasa leo Loawasa ataongea Ukweli kuhusu Richmond,ataongea Vitu vyote ambavyo Mwakyembe aliviacha Kuongea katika Riport yake ,Kwa kuilinda Ikulu.Hata Ongea hayo tu, Pia ataongea kuhusu wamiliki Halisi wa IPTL, pia atagusia Mambo ya Escrow ni nani aliyeengeer Mchakato wote wa Escrow, Ataelezea ni nani Anamiliki Kampuni ya Simba Trust, iliyochukua Bilion 75 kwenye Kashifa ya Escrow. Riport yote ya Takukuru ipo hewani kuhusu Esrow. Ndugu yetu Lowasa anatubu na anarudi kundini, Kundi la makamanda, kundi la Kutetea nchi. The same apply hata Pinda angejiuzuru kwenye kashifa ya Escrow naye angeitwa Fisadi. (Tatizo la lowasa ni Kukubali kujiuzuru kwa manufaa ya Serikali ya CCM)
Lowasa atatuambia Fisadi mkuu wa Hii nchi ni nani? Kaeni Mkao wa kura , watu wameshaanza kukimbilia nje ya nchi kuangalia pesa zao kama zipo Salama. Na ninawambia Kuwa SIKU LOWASA ANAAPISHWA RASMI kama RAISI wa nchi hii.
kuna Watu watakimbia hii nchi, kwa sababu Uozo wote utawekwa Wazi ,hatutangalia Mtu,wa cheo chake Sijui alikuwa nani, Wote ni MAHAKANI.
Tutaendelea kuijenga hii nchi, kila mtanzania afaidike na Rasilimali za nchi yake.
Karibu Lowasa, karibu Ukawa.
Ahsanten.
Bintiwangara.
Edward Lowassa ni Msafi, Lakini Kwanini Aliitwa Fisadi?
12
July 27, 2015
Tags
Poitless atawambia watoto sio cc watu wazima,slaa mwenyew alishawahi kusema lowasa
ReplyDeleteAngekuwa jera leo hii anamuona msafi mstake kuwafanya watanzania wajinga.mwaka
Huu chadema ndo wamechemka.
Mimi si mwanasiasa lakini ni mwananchi mpenda nchi yangu. Naipenda Tanzania maana ndiyo nchi yangu.
DeleteMasikitiko yangu makubwa ni jinsi wanasiasa wetu wanavyotupelekesha kwa malumbano yao kila kukicha, huyu kafanya hiki huyu leo ni fisadi, leo huyu anarudi kundini. Kama mtu anarudi kundini kwa mtazamo wa dini ya Kikirsto ni kwamba alitenda dhambi. Kinachonishangaza mimi leo ni kwamba Lowasa anataka kutuamba ukweli gani wakati huu baada ya kunyofolowa kwenye harakati za kuingia ikulu kama rais. Swali langu ni kwamba kama kweli Lowasa alikuwa safi na mkweli akimwogopa Mungu kwanini hakusema ukweli wakati ule wa tukio, akakaa kimya? Hivi kweli hamuoni aibu CDM kutudanganya leo ya kwamba Lowasa ni msafi, huku wakati uliopita alikuwa fisadi? Je kama CCM ingelipitisha jina lake na kupata kibali cha kugombea uraisi CDM wangelifanyaje? Bila shaka wangelitumia kigezo cha ufisadi wake kwenye kampeni zao ili kumwangusha. Namwomba sana Mheshimiwa Lowasa akumbuke alikotoka. Kiu ya kuwa rais isimfanye kuwa chambo kwa ajili ya waroho wa madaraka.
Watanzania tuweni macho. Naiombea mema nchi yangu, nawaombea Watanzania ili Mungu azidi kutujalia amani.
juz fisadi leo msafi........chadema wanajitekenya na kucheka wenyewe
ReplyDeleteAisee umeongea pumba kabisa wewe unaesema alishinikizwa, km alikuwa dhabiti na uhakika wa hayo anayotaka kutuambia leo kwa nini hakujitoa mhanga kuyaongea kipindi hicho. Wanasema siasa ni mchezo mchafu na cdm kwa kweli mmetuonyesha uchafu na udhaifu wenu. Msiangalie matumbo yenu tu na uroho wa madaraka, kwa kifupi cdm mmechemka siwaamini tena nimejua wote ni wale wale hakuna chama chenye nia ya dhati na wananchi wa Tanzania. Mlimkashifu sana huyo mnaemuita anatubu na kuongea maneno machafu dhidi yake lkn leo kawa lulu kwenu eti ana wafuasi wengi. Kwa hiyo nyie hata akija teja kwa vile ana wafuasi wengi atasimamishwa kama mgombea. CDM sikuwategemea na mmeikosa kura yangu wazi wazi.
ReplyDeleteukweli utajulikana tu. tusubilie upepo upulize ili tuyaone makalio ya kuku
ReplyDeleteNi kweli upepo ukivuma makalio ya kuku nje wawahi mahakamani ila cha kumkimbiza mwenyenyumba safari ndefu hivyo ni nini???
DeleteNdo siasa nyie maboya,hamjui siasa mchezo mchafu
ReplyDeleteHii ni police case pamoja na mambo yote hayo hayawezi kumfanya Lwasa awe clean.Kama alikuwa anaipenda nchi siku zote alikuwa wapi kusema ukweli.Kwa maana mengine alikuwa anajipanga kuiba tena.CHADEMA jalibu kuwa waungwana kumbe nyie mmmeingia kwenye mtego wa panya hii ya LWASA HAITASAIDIA HATA MFANYEJE CREDEBILITY ZIMEPUNGUA KWA KUMSAFISHA NA KUMLINDA MWIZI.
ReplyDeleteYale maneno yaliyotabiriwa kuna kiongozi mzee atakufa Wakati wa uchaguzi nazani yatatimia.ccm wasipokuua sijui? Jipange kwa hilo
ReplyDeleteMimi napenda ccm ila nape kitendo Cha kusema ambaye hajarizika ahame wanajiamini nini? Washafanya ccm ni Yao ngoja tuwashikishe adabu and is now next time mtatuheshimu
ReplyDeleteChadema hawajui wanachokifanya sasa leo wamejiloga wenyewe hakuna alie waloga shida yao kubwa siokuwakombowa watanzania bali niuchu wa madaraka nawanataka waonekane kuwa nawao wameiangusha ccm kwa tarifa mmechemkaaaaaa nammekubali kuchemshwa wanao waona nyie ni wajanja wle mnao wahonga pesa lakini mtu mwenye akili yake hawezi kusifia ujinga mnao ufannya hata siku moja sisi tunaendelea kuomba namtafarakana wenyewe kwanza kabla hamjaanza kutoa siri zenu eee Mungu inusuru Tanzania na Mafisadi tena nyie ni wanafiki msio weza kumuogopa hata mungu na mshangaa pia Lowasa leo hii kuhamia kwenu ngoja atafute kiki lakini ikulu hawezi ingia hata kwa dawa amejiloga mwenyewe poleni sana ukawa maana nawaonea huruma mlivojichafua bora hata mtoto mdogo anaweza akajichafua ukamnawisha naukamvalisha tena akapendeza lakini nyie mmejichafua aisee hakuna mfano nashindwa niwafananishe na nini wanafiki wakubwa nyie Ukawa...
ReplyDeletekweli leo shetan mkuu LUCIFA KAGEUKA KUA MALAIKA MKUU? aisee wamebugi big time they were not supporse to do this yaan I,iman yote ya wananchi juu yao kwishaa na wamejikosesha kura nying sanaa, wamedharaurika.................wamempa magufuri ushind wa bila ushindan...........kweli CCM KIBOKO IMEFANKIWA KUA UPINZANI...............LOWASA IKULU ATAISIKIA TUU NA ROSTAM ANADAI HELA ZAKE ...........MZEE WA MATUMAIN UR TOO OLD FOR THIS HEBU LEA WAJUKUU WAKO MONDULI NA UJISHUGHULISHA NA UKULIMA NA UFUGAJ TO KEEP U BSY...............
ReplyDelete