Habari Kuhusu Blogger Maarufu Mange Kimambi Kukamatwa na Kutiwa Rumande

Kutoka Instagram:

Mrekebishatabia: Habari nyingine, blogger maarufu Mange Kimambi amekamatwa na kupelekwa rumande. Watu walikua wakimfuatilia mpaka alipoenda kuchukua fomu ya kugombea viti maalumu jimbo la Ubungo ndipo akakamatwa, Anasubiri Kufikishwa Mahakamani Wakati Wowote. Tutajua zaidi kwanini amekamatwa! 2h

Lemutuz_nation: OK guys so far nimerpoti the TRUTH and FACTS on ishu ya Mange na mpaka sasa kuna Watu wengine maarufu 2 zaidi waliojitokeza kumfungulia mashitaka so sasa wanafikia 4......NOW BADO I AM TRYING TO DIGGEST ALL THESE nilienda Polisi mwenyewe kupata Ukweli na walinipa ruhusa ya kumuona ila sikujisikia kumuona BUT ANYTIME FROM KESHO NITASEMA NENO ON HER ISHU.....kama kawaida I AM THE KING OF ALL BONGO SOCIAL MEDIA NETWORK hii habari ni my territory so NI WAJIBU WANGU KUTIA NENO AND TRUST ME THAT KESHO I WILL U KNOW TENA ON MY TIME NITAWEKA NENOZZZ so stay tuned!

Lemutuz_nation: Hapa ulikuwa MCHANA Mange alipokwenda kuchukua fomu ya Ubunge WA Kinondoni akiwa na kaka yake kulia Tawi LA CCM Mkwajuni Kinondoni.kumbe Nje kulikuwa na Polisi Mmoja wa Kiume na mwingine wa Kike waliokuwa wakimsubiri na Mtu mwingine anayedhaniwa kuwa ni kutoka Usalama wa Taifa...baada ya kumaliza kuchukua fomu tu akakutana na hawa watu 3 wakamuamuru aongoze Makao Makuu ya Polisi ambako alikaa kwa muda na kuelekea Polisi Osterbay ambako anashikiliwa mpaka sasa...TAYARI WATU WAWILI MAARUFU WAMESHAMFUNGULIA KESI MPAKA SASA SAA TANO KAMILI YA USIKU MWANAMKE MMOJA NA MWANAUME MMOJA MUME WA MTU MAARUFU SANA HAPA MJINI...pia juhudi za kumtoa kwa dhamana zinaendelea kwa nguvu kubwa sana.....BINAFSI BADO SINA LA KUSEMA HOWEVER SOON NITASEMA SOMETHING ABOUT THIS ISHU.....stay tuned! - le Mutuz
Read more at http://websta.me/n/lemutuz_nation#vlitRaJRkJkKTdU5.99

Post a Comment

16 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. yaaani kweli Tanzania inaongwaza na wauza unga, I know the guy mimi binafisi nimesha ended mpka nyumbani kwake he cook drug na anawatu wanake ndio wanachukua na kumuuzia Abdul anakaa magome na mimi nakaa ilala. ilala youte imeoza kwa unga wake kinondone ndio usisema. kwalihiyo mtu akijitokeza na kusema ukweli then She is a bad guys. Tanzania you have to standup.

    ReplyDelete
    Replies
    1. I know him too and i can testify, i'm not scared with nobody. When it comes to this evil people, is personal to me. lost my brother 2008 for drugs.

      Delete
  2. KUadi tu wewe Ji Lemutuz

    ReplyDelete
  3. Kweli Bongo hakuna sheria nimekubali pesa ndio kila kitu Ee baba mungu wahurumie waja wako.

    ReplyDelete
  4. Shamimu na mumeo kweli mnatangaza vita na tutapambana mpaka mwisho hata hao polsi mnao wahonga wanajulikana mwisho wao umekaribia.

    ReplyDelete
  5. Shamimu na mumeo kweli mnatangaza vita na tutapambana mpaka mwisho hata hao polsi mnao wahonga wanajulikana mwisho wao umekaribia.

    ReplyDelete
  6. Tanzania imeoza. So mange kuwaumbua wauza unga ndio sababu ya kukamatwa? Wamehonga polisi.

    ReplyDelete
  7. ..Mange amajitengenezea maadui wengi na ameleta maumivu mengi kwa watu.. niliwai kufikiri hawa watu itafika muda wao pia wata revenge.. kulingana na sheria za nchi atajibu mashtaka ila kuna vitu kadhaa niliona mange ameleta visivyo na ukweli na itabidi akathibitishe maakamani kama haki itapatikana maana watu washachoka na mfumo usiotoa haki vinginevyo wanajua shortcut zao pia

    ReplyDelete
  8. ..Mange amajitengenezea maadui wengi na ameleta maumivu mengi kwa watu.. niliwai kufikiri hawa watu itafika muda wao pia wata revenge.. kulingana na sheria za nchi atajibu mashtaka ila kuna vitu kadhaa niliona mange ameleta visivyo na ukweli na itabidi akathibitishe maakamani kama haki itapatikana maana watu washachoka na mfumo usiotoa haki vinginevyo wanajua shortcut zao pia

    ReplyDelete
  9. she used to be my friend, toka nilipojua kazi ya mumewe nikasema am sorry na hii damu yangu ya kunguni? kwetu masikini nikijatiwa ndani nitaozea huko.
    nilijua tu Mange anapigana na vita kali sana, so kutishiwa bastola was just a game ila kusema ukweli ndiyo crime.. duuuh kweli tanzania ya wenyewe

    ReplyDelete
  10. Ukweli unauma siku zote jamani hebu muachieni dd wa watu mnamuonea tu japo ana makosa yake pia nyie mliomshitaki kwani ni wasafi nyie? Shame on you people huyu dada huwa anaongea ukweli na facts tu japo anakosea na kila bidamu anakosea na amekuwa mpiganaji sana kupigania Nchi yake hebu Watanzania mnaothamini mchango wa huyu dada tumsaidie Jamani Serekali viongozi ingilieni kati hili swala la huyu dada anatetea sana haki za binadamu hasa hawa walioharibika na Drugs. kwani ana watoto pia na yeye je na wengine wenye watoto mtafurahi kuona watoto wenu wanaharibika kwa madrugs? Hebu tumuunge mkono huyu dada jamani.

    ReplyDelete
  11. Makufuli Jamani si unze kazi. Kikwete alisema anawajua ila anawaogopa

    ReplyDelete
  12. The big dealer wa unga ndio mtakao wajua

    ReplyDelete
  13. Imeniuma sana kwa sababu there is no freedom of speech and people hate her for speaking the truth, watoto wetu,ndugu zetu wanaotumia madawa ya kulevya wanateseka sana, halafu kuna watu wamekaa wanasema afadhali akamwate ombea yasikukute isee..

    ReplyDelete
  14. mhhh hapa msukule wa mange mmoja tu kajaza macomment yake ya kumtetea cyberbully

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad