Hata Yesu Alipingwa Pia, Usijali Edward Lowassa Kitaeleweka Tu

Yule Mwalimu Mkuu wa Walimu na Mtakatifu wa Watakatifu kuliko wote waliowahi kuishi Dunia hii na Mwanzilishi wa Dini ya Kikristo, Yesu Kristo pia alipingwa sana kuanzia alivyozaliwa tu watu hasa maelite, Wafalme wenye madaraka makubwa walimpinga, wakamdhihaki na hata kumkamata na kumweka ndani, sasa ni kwa nini walifanya hivyo? ni kwa sababu ya Woga wa mabadiliko, walijua sasa Utawala wao wa dhuluma uko hatarini hivyo haya yanayotokea na anayofanyiwa Bw.Lowasa ni ishara tosha kwangu mimi kama Muumini na mfuasi mkubwa wa Mafundisho ya Mwalimu Yesu Kristo naamini kabisa ya kwamba Bw.Lowasa ndiyo anyefaa klk wote kuiongoza TanZania!

Hapo mwanzo sikumkubali lkn hizi chuki na kampeni chafu anazofanyiwa zimenifanya nijiulize maswali mengi na magumu, ni kwa nini haswa? Kama ni Ufisadi mbona kila anayegombea ana wake, ni kwa nini yeye tu? Hapo ndipo nikajua kuna kitu na siyo Bure!

Dunia nzima haya yanayotokea siyo mageni watu ambao huwa wanakuja kuleta mabadilko huwa wanapingwa kwanza, kuanzia Martini Luther (orijino na siyo mchumia tumbo wa USA) kama vile Mlm.Yesu Kristo pia alipingwa na Kanisa Katoliki na Mapapa wa wakati huo lkn mapendekzo yake Kanisa Katoliki liliyachukuwa na kuyatumia, Mandela alipingwa mpaka na kuwekwa jela leo hii waliompinga, kumkebehi na kumuita Gaidi wameweka sanamu yake kwa kumkumbuka kwenye Miji yao (London)...

Dedicated to Bw. Lowassa!

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Naona na wewe umekuwa Kilaini. Umdanganye nani? Pumbavu mkubwa!

    ReplyDelete
  2. Weee ni mabadiliko gani? unayoyatarajia, nyota njema uwonekana asubui, sasa hapo kwa Lowasa nyota gani njemaaa, inayoonekana? ni nani? mgeni wa Taifa hili asiyaelewa mambo ya Lowasa, tumechoshwa sana raia na hawa viongozi uchwala, walioko au wanataka ingia kwa manuufa yao tu, si kwa Taifa, toka uko nyuma walisha onyesha intrest zao, lakini bado hawajalizika wapooo, tu na kutaka kutukandamiza raia wengi

    ReplyDelete
  3. Angalia ulichoandika 1,mtakatifu wa watakatifu kushinda wote waliopota kuishi duniani 2,muwaanzilishi wa dini ya kikristo haya toa Aya katika maandiko matakatifu kuthibisha hayo kumbuka mpaka yesu an aondoka kulikuwa hakuna mkristo hata mmoja hapa duniani

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad