Hatimaye Ngoma Sasa ni Lowassa vs Magufuli....Kura yako Utampa Nani?

Hii ndio nafasi ya kipekee UKAWA kuchukua uongozi Tanzania, inanikumbusha msisimko tuliokua nao mnamo mwaka wa 2002, tulivyoangusha KANU na kuanza kujenga nchi upya. Yaani CCM wakikwepa hii na kuponea, basi ndio kabisa watabaki uongozini. Lazima walijua Lowassa atahamia upinzani na wapo wamejipanga pia. Yetu macho, tujionee siasa ya Bongo.

LOWASSA Vs MAGUFILI......NANI ZAIDI?

Post a Comment

34 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Magufuli bhana!
    Hapo Mimi nachagua Mtu sio chama.

    ReplyDelete
  2. Lowasa no simba

    ReplyDelete
  3. Lowasa atosha

    ReplyDelete
  4. Team Lowassa

    ReplyDelete
  5. Mh najionea maruweruwe tu!

    ReplyDelete
  6. Jembe magifuli mi chadema Damu ila Lowasa kabug

    ReplyDelete
  7. umeshika mkia wa beberu unauliza wapi anaponyea?mimi ccm lakini MAMVI for life

    ReplyDelete
  8. JOHN POMBE MAGUFULI

    ReplyDelete
  9. Jembe magufuli tu

    ReplyDelete
  10. Magufuli no 1

    ReplyDelete
  11. Uloyo wa madaraka utamuua

    ReplyDelete
  12. Kwa hasira unazotuonyesha hata urais ujapata ukipata je si utauwa watu

    ReplyDelete
  13. Mgufuli ndoRAIS wa tz mroho wa madaraka akafie mbele ukooo

    ReplyDelete
  14. MAGUFULI OYEEEEEEEEEEEEE

    ReplyDelete
  15. Magufuli jembe

    ReplyDelete
  16. kitu Magufuli bhana njia nyeupe ikulu

    ReplyDelete
  17. Lowassa Bhana

    ReplyDelete
  18. Rais ni Magufuli tuuuuuuuuuuuuu Nambari one

    ReplyDelete
  19. Magufuli atosha.

    ReplyDelete
  20. John Pombe Magufuri

    ReplyDelete
  21. Dr.Slaa ndio angetakiwa asimame ,jamaa amekuta nyumba imeisha hajui gharama yake ,Ccm ni mfumo tu mbaya ,na wizi na hawako kwa ajili ya ukombozi wa Mtanzania kwa ajili ya rushwa .

    ReplyDelete
  22. Pombe ndo kla k2

    ReplyDelete
  23. KIFAA KINAJULIKANA, HUWEZI GONGANISHA TINGA TINGA NA TAXI VINGINEVYO WATAKA KUFA WEWEEE

    ReplyDelete
  24. Lowasa bhanaaa, alitujengea shule za kata watoto wa maskini nao wakapata elimu....

    ReplyDelete
  25. Wote majembe,ila mamvi ni mzoefu zaidi ktk ustawi wa jamii.

    ReplyDelete
  26. Mamvi ana maamuzi magumu,ataishape nchi,tumpe ✌

    ReplyDelete
  27. Lowasa anajali elimu na ajira,tingatinga ni mtendaji anafaa kuwa waziri mkuu

    ReplyDelete
  28. Mamvi ni mzoefu zaidi wa ustawi wa jamii na ana maamuzi magumu,tinga ni mtendaji uwaziri mkuu unamfaa zaidi..

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad