Hii Inakuhusu...Edward Lowassa Anaomba Ushauri Kutoka Kwako ni Kitu Gani Afanye Baada ya Jina Lake Kukatwa Katika Kinyang'anyiro cha Urais

Edwardlowassa - Niambie, ushauri wako kwangu ni upi?
Nakusikiliza.... .
.
Si nimewaambia??? Safari ya matumaini haijaisha. ....so toa ushauri wako tafadhali Mh. Edward Lowassa anakusikiliza........

Post a Comment

23 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Akapumnzike akae na wajukuu, Tanzania haitaki matumaini, inataka uhakika

    ReplyDelete
  2. Kumpa support J.P.Magufuli tu basi,maana Watanzania wengi tumeomba sana Mungu atupe kiongozi bora na kwa maana hiyo basi kiongozi ndio huyu( Mh.J.Magufuli),ni sahihi,na jibu la maombi yetu.
    Mungu ibariki Tanzania.

    ReplyDelete
    Replies
    1. pole sana mr.lowassa.donot mind compose yourself.do something big for our country like community services for poor people and you will be big larger than our country.
      be blessed I give you my support

      Delete
  3. Mungu amechagua kiongozi anaye mtaka na sio wanaomtaka wanadam alitazama kwa macho ya nyama nakuamini kuwa ni yeye atakua rais Mungu atazamavyo si kama mwanadamu awazavyo na mawazo ya mawazo ya mungu si yamwanadam..atulie aache kutanga tanga kamapesa anazo atakula mie nadhani imekua fundisho hata kwa wengingine kwa kutumia pesa nyingi bila kuuliza kwa Mungu nini alitakiwa afanye ampe sapoti Magufuli ilituijenge nchi yetu.....

    ReplyDelete
  4. usijali Mr.Lowassa tulia mda hu ni wakutafakari what went wrong.Pia nakupa support yangu. deep in my heart naelewa hata richmond you are not the major player you were used.na pia jifunze watu wanabadilika.you trusted someone but he let you down.lesson, donot trust friend as you did.people changed.ushauri wangu tlia,compose yourself.anzisha something big to help community.I will support you.niko pamoja nawe katika wakati mgumu kama huu.
    wewe ni mpiganaji/fighter nakuaminia.

    ReplyDelete
  5. kama safari ya matumaini ipo asikate tama bado anayo nafasi tena kubwa kama wamemletea zengwe abadili upepo maisha sio kwa ccm pekee maisha popote kwani ccm sio babaye wala mama yake mungu pekee ndio anampigania achukue maauzi yenye busara kwake
    na wanaomzunguka

    ReplyDelete
  6. Nyiny waandish na media njo mulimharibia kwan mulimpak mafut mukazidisha, na yeye alipoona sapot kutok media na waandish baasiiii akajua kama tayar alish fika ikul akasahau kwamb kinyanganyir kilikua bad njoo kinaanza. Mfano mfupi tu. Tazamen timu ya England, Tanzania( Taifa stars) ya Kenya harambee stars, huwa zinashind kabl ya mtanange wenyew ila wakij fika uwanjan laaaa wanacharazwa vibaya. Huwa nawalaumu sana nyiny waandish na media.

    ReplyDelete
  7. Akubali matokeo hana sababu ya kufanya lolote baya maana kila kitu hutokea kwa sababu pia kila kitu ni mipango ya mwenyezi Mungu ......tunamuomba tu aheshimu maamuzi ya chama na ampe sapoti DR. JOHN POMBE MAGUFULI RAIS WETU...............

    ReplyDelete
  8. kama anahitaji kulinda heshima yake aliyotunukiwa na taifa hili siku za nyuma, akubali yaishe. namaanisha akapumzike naungana na mdau hapo juu, kweli ni kipenzi cha watu lakini pia mbadala wake ni jembe tosha hivyo ampe support \mheshimiwa Magufuli kwa roho safi. Lowasa tunakupenda sana lakini maamuzi ya refa ndio ya mwisho, tunakuomba sana umpe suport Ngosha. Mungu ibariki Tanzania

    ReplyDelete
  9. Asage chupa abwie

    ReplyDelete
  10. Atulie na kuona jinsi ya kumsapoti JPM, na kwa uadilifu wake najua hana kinyongo kwa hilo.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Akae atulie kwani asiekubali kushindwa si mshindani na hakuna sababu ya kuhama chama.

      Delete
  11. MH.BADO TUNAKUHESHIMU SANA TENA SANA UONGOZI HUTOKA KWA MUNGU KUMBUKA MFALME DAUDI! MAANDKO YAONESHA FKA MUNGU ANAPOCHAGUA HUCHAGUA KWA MAONO C YA KIBINADAMU! MSAPOTI KAMANDA MAGUFULI UJIONGEZEE HESHIMA! HATUKUMTARAJIA WENGI ILA N MCHAPAKAZI HASA NA TUNA IMAN NAYE!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Namshauri amshukuru Mungu kwa yote, Asijitoe kwenye chama ajitose ampe support Magufuli na zaidi sana ajihusishe na biashara zake kisha atoe sadaka zake kwa wahitaji hapo atakuwa anajitengenezea godoro la sponji huko kwa Mungu. Mungu bado anakusudi na maisha yake asikate tamaa wala usijisikie kushindwa hizo ni siasa tu baba, Pole.!!!

      Delete
  12. pumzika ule pensheni hautasakamwa na mtu

    ReplyDelete
  13. Ungana na mheshimiwa zito mkiwa pamoja mnaweza kuwa moto wa kuotea mbali kabisa na sintoshangaa kuona mnakuwa cha cha 1 cha upinzani na kuipiku ukuwa mda wa kufanya hivo ni sasa

    ReplyDelete
  14. Pole sana Mh. naamini wewe ndie rais watz kutokana na jinsi watu walivyokusapoti wakati wa kutafuta wadhamini, ila ndio hivyo wapo walioshika mpini hawakukubaliana na hilo!! ila usiumie sana moyo Mh.. kwa maana bado Mungu hakukutupa mkono maana alie ingia badala yako pia ni Mtumishi wa Mungu, mpe support naamini hatakuangusha... WE RESPECT YOU LOWASSA DON'T WORRY GOD STILL WITH YOU "EMMANUL"

    ReplyDelete
  15. amsupport magufuli hapo ndo ataonesha mkomavu kisiasa

    ReplyDelete
  16. endelea na harakati zako zile zile.. maandamano na boda boda kwa sana, misaada kwa sana na vinginevyo.. naamini hutotunyima mile mungu alichokujaalia kiss umekosa urais.. watanzania tunaamini ulifanya Yale yote coz uliguswa NAyo na c kwa 7bu ya urais.. we still need u!!

    ReplyDelete
  17. Akapumzike tu nyumbani kwake Monduli.

    ReplyDelete
  18. Aende Monduli akapumzike na aangalie afya yake.

    ReplyDelete
  19. Mhe lowasa asisikitike sana kutokuchaguliwa huwezi jua mungu amemuepushia kitu gani...kukatwa pia ni heshima tosha sababu inaonekana ni jinsi gani kikwete anavyokuogopa mpaka hakufuata taratibu zote...pia msiwatuhumu team yake ya ccm hawajamkimbia hawana jinsi lazima wamsapoti aliyeteuliwa vinginevyo labda kama kulikuwa na makubaliano ya kuhama chama team yoote..lazima waendelee kumsapoti magufuli kwa chama pinzani...naye twaweza shangaa ukawa ikarusha bendera binadamu hatutabiriki. Washabiki waweza kuwa wengi lakini kwenye kiboksi kila mtu ni siri yake ..mmuulize mbowe ...pole sana lowasa kuwa na amani tele.

    ReplyDelete
  20. Mlizisupport hela zake sio yeye.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad