Wema Sepetu alikuwa miongoni mwa watu wanaogombea Ubunge viti maalumu mkoani Singida lakini matokeo yalivyotoka hakupata ushindi kutokana na uchache wa kura lakini pamoja na hayo mashabiki wake walimuunga mkono kwa kuthubutu kwake na kumfanyia mapokezi haya Dar es salaam.
Staa huyo aliibuka na kupata kura za maoni za ubunge 90 huku wagombea wenza wakiongoza kwa kura za maoni, Asharose Mattembe (311), Martha Mlata ( 235) na Diana Chilolo (182).
mbona siku hizi “NO COMMENTS” watu wanaogopa ?
ReplyDeletehongera kwa kuthubutu, maisha ndivyo yalivyo. usikata tamaa. angalia fursa nyingine ambayo iko wazi, shughulika nayo. hongera.
ReplyDeleteHawana kazi ya kufanya hao
ReplyDeleteWewe ndo hauna kazi ya kuanya mfyu
DeleteDavido na ali kiba hajahamasisha wana ccm wakuvotie na ww........pumbavu sana ww ulikua unajua ww ni mungu eee......haya sasa umeamini kwamba mungu ndo muweza wa yote na sio binadamu
ReplyDeletepumbavu wewe na family yako, Wema kaweza kufanya kitu hata baba yako hajafanya mpaka anakufa, mtabakia kudanganywa na huyo mpokea vikombe vya shaba tuu.
ReplyDeleteBora huyo mpokea vkombe vya shaba kuliko huyo aliyetoka kapa coz alijiona yeye ndo yey akiamua anaweza! Kaangukia pua. Hahahahaaa #TeamMikosi #TeamLooser
DeleteChangudoa aliyekuburu. Watu wameburuza mpaka kizazi kimekufa. Chezea mboo za wanaume. Bungeni angeenda kujiuza kwa wazee Na vjana. Angelifanya Bunge kuwa udaku badala ya hojo. Kazi ziko nyng sura yake bado iko sokoni watu wanaihitaji.
ReplyDeletechnangudoa mama yako aliekutoa puani, kwakuwa chini kunatoa funza, mtakufa wima kwa kumuwaza Wema, kashindwa Lowasa urais, mumkome mtoto wa watu, umalaya wake unalipa ndo maana yuko juu, jiulize wewe unaepumuliwa nyuma ya kisogo.
ReplyDeleteYES WEMA AKIAMUA ANAWEZA, NA HAWAONGI MPAKA WAENDESHA BODABODA WAMPOKEE, ILI AOENEKANE ANAPENDWA UPO BIBI AU DUME TATA.
ReplyDeletemtaumwa na dawa hamuijui, Wema kawazidi mbaliiiiiiiiiiiiiiiii, ndo maana mnamtukana sana matusi yenu ndio kwanza yanamnyookea, kaleeeni mtoto wa baba 3.
ReplyDelete