Jibu la Linah Baada ya Shabiki Kuuliza Uhusiano wake na Kaka yake Zari (Bosi Mutoto).

Kama wewe ni mtu wa stori za mastaa kutoka kwenye mitandao ya kijamii inawezekana ikawa imekufikia hii ya Linah kutajwa kuwa mapenzini na kaka yake Zari The Boss lady ambaye ni girlfriend wa Diamond.

Kwenye Exclusive Interview Linah ameongea na Millard Ayo alipotembelea studio za TZA na hilo swali kuulizwa na shabiki, tazama hii video hapa chini…

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad