JUSTIN BIEBER Atupia Picha ya Uchi Mtandaoni, Yapata Likes 719,000 Ndani ya Lisaa Limoja

MWANAMUZIKI raia wa Canada asiyeishiwa vituko, Justin Bieber kwa mara nyingine ametengebeza vichwa vya habari mitandaoni baada ya kutupia picha yake ya utupu katika akaunti yake ya Instagram.

Staa huyo ameachia pia hiyo ikionyesha sehemu za makalio yake wakati akijiachia katika Kisiwa cha Bora Bora kilichopo nchini Ufaransa.

Ndani ya saa moja baada ya kutupia picha hiyo, tayari ilikuwa na 'likes' zaidi ya 719,000.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad