Kambi ya Lowassa Yameguka, Sophia Simba na Nchimbi Kumuunga Mkono Dr. Magufuli

Sophia Simba: Ameamua kumuunga mkono Dr Magufuli: Msimso huo umetolewa na Amina Makilagi

Wameandaa hafla ya kumpongeza mgombea mwenza Samia Suluhu

Mh Nchimbi: Yeye alitoa pongezi kwenye ukurasa wake wa facebook, kumuunga mkono.

Aliyegoma kumuunga mkono ni kimbisa ambaye alikuwa kwnye mashauriano na Mh Lowassa.

Kumbe wote hawa walikuwa wachumia

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. hawana lolote huyo sophia na nchimbi wanajipendekeza ili wapate uwaziri na walishajua hali ishakua mbaya kwa upande wao

    ReplyDelete
  2. Andikeni habari zenye mashiko sio kupigilia msumari kidonda kibichi kwa MTU asiye hatia kwako. No research no right to speak.
    Kwa uhandishi huu napata ukweli kwa nini mswada wa sheria ya mitandao ulipingwa kwa nguvu zote ili mijitu/ mikanjanja Kama muhandishi wa post hii iendelee na upumbavu wao.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad