KIM Kardashian Amuaibsha Mumewe Kanye West..Atoka Out Bila Kuvaa Sidiria..Paparazi Wamchungulia na Kufanya yao

Papararazi walimpiga picha Kim akionekana kutovaa sidiria huku mtaani wakijiuliza kulikoni mume wake hamuoni au ni mtu asiyejali na kumpachika jina la ‘Mastermind’.

“Kivazi hiki kimekuwa kikiwatega watu kwani sehemu kubwa ya kifua chake kiko wazi, si vizuri kwa mama mwenye mtoto kuvaa nguo kama hii, kweli anamhaibisha mumewe”, alisema Shabiki mmoja

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad