Wapambe wa Mbunge wa Monduli Edward Lowassa hivisasa wanafanya maandamano makubwa nje ya ofisi za CCM hapa makao makuu ya CCM wakipinga Mbunge huyo kuchujwa katika tano bora.
Wapambe hao wanaimba nyimbo mbalimbali za kukiponda chama cha Mapinduzi kwa madai kuwa chama hichosio cha kindugu na pia sio cha kifalme.
Kwa namna nyingine hali si shwari hapa mkoani Dodoma ambapo sintofahamu imetawala kuhusiana na Edward Lowassa kukatwa.
Bado haijulikana nini hatma ya kikao kinachoendelea hivisasa kwa kuwa wa wajumbe wengi wa napinga Lowassa kuchujwa.
Baishara zasimama,makao makuu Dodoma.
Baadhi ya wapambe wa Lowassa wakipinga Kamati kuu kumchuja Lowassa.
Barabara zafungwa Polisi watanda kila kona kudhibiti usalama dhidi ya waandamanaji.
Wapambe wa Loawssa wakipinga kukatwa tano bora.
Kweli pesa ndio kila kitu unapewa pesa ya siku moja unasahau shida ulizo nazo kwa uzuri upi mpaka muandane kwa ajili yake😂
ReplyDeletehawana cha kufanya warudi makwao tuu
ReplyDeleteWengine wanafata mkumbo tu
ReplyDelete