Live Dodoma: Polisi Watumia Mabomu Kuwatawanya Wafuasi wa Lowassa Waliokuwa Wakiandamana

Wapambe wa Mbunge  wa Monduli Edward Lowassa  hivisasa wanafanya maandamano makubwa nje ya ofisi za CCM hapa makao makuu ya CCM wakipinga Mbunge huyo kuchujwa katika tano bora.

Wapambe hao wanaimba nyimbo mbalimbali za kukiponda chama cha Mapinduzi kwa madai kuwa chama hichosio cha kindugu na  pia sio cha kifalme.

Kwa namna nyingine  hali si shwari hapa mkoani Dodoma ambapo sintofahamu imetawala kuhusiana na Edward Lowassa kukatwa.

Bado haijulikana nini hatma ya kikao kinachoendelea hivisasa kwa kuwa wa wajumbe wengi wa napinga Lowassa kuchujwa.

Baishara zasimama,makao makuu Dodoma.

Baadhi ya wapambe wa Lowassa wakipinga Kamati kuu kumchuja Lowassa.

Barabara zafungwa Polisi watanda kila kona kudhibiti usalama dhidi ya waandamanaji.

Wapambe wa Loawssa wakipinga kukatwa tano bora.

Tags

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kweli pesa ndio kila kitu unapewa pesa ya siku moja unasahau shida ulizo nazo kwa uzuri upi mpaka muandane kwa ajili yake😂

    ReplyDelete
  2. hawana cha kufanya warudi makwao tuu

    ReplyDelete
  3. Wengine wanafata mkumbo tu

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad