Lulu Michael Ni Demu FEKI na Tapeli

Staa wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amedai kwamba yeye ni ‘demu feki’ tena mwenye tabia za kitapeli huku kauli yake hiyo ikiacha baadhi ya watu midomo wazi na kutaka kujua kulikoni.

Akizungumza na mtandao huu, Lulu amesema kuwa ni kweli yeye ni demu feki lakini kama watu wanataka kujua kwa nini yeye ni feki na ana tabia za kitapeli wasubiri kujua kwa nini ameamua kujiita hivyo.

“Kama mtu anataka kujua ufeki wangu anisikilizie maana kuna kitu nimefanya kitathibitisha hilo,” alisema Lulu

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. huyu nae kakosa kazi ama akipeleke huko na wewe mwenye hii blog mjinga tu kila siku kum promote demu huyu unalipwa huna hela weweeee umefulia na lina kupwelepeta mademu wazuri wapo kibao mfano Vanessa Mawalla na hajisikii na anajielewa dako liako

    ReplyDelete
  2. Hayo ni mawazo ya mtu, na kila mtu anawajibu wa kuamua chochote anachosikia

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad