Majibu ya Wema Sepetu Kwa Waliosema Siasa Imeingiliwa Baada ya Yeye Kutangaza Nia, Pia Aliyeigiza Sauti Yake

Mwigizaji Wema Sepetu alifanya Interview na mtangazaji Millard Ayo kuhusu ishu kadhaa zinazohusu kutangaza kwake kuingia kwenye siasa ambako anagombea viti maalum ambapo amejibu comments za watu waliombeza kwa kusema siasa imevamiwa, nafasi ya juu ya Uongozi aliyowahi kuitamani, aliyeigilizia sauti yake na mengine bonyeza play hapa chini.

Source:Millard Ayo

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Haya Dodoma jiandaeni. Dungalienge liko njiani. Msiogope kusingiziwa watoto. Gumba hilo. Livurugeni mbele na nyuma. Tena bureeeee.Tangu lini malaya akawa ongoza wananchi wakati anashindwa kujiongoza yy mwenyewe katika kuuheshimu mwili wake.?. Ameshwawahi kutiwa hatiani mara ngapi mpaka leo aingie bungeni? Kashindwa kuuza michezo yake ya kuigizia kaona siasa ndio kimbilio??? Singida what happenned there? Huyo mbunge wenu haishi ku pretend kiswahili kinamgonga wakati ana matusi ya mbagala. Mnataka kuwakilishwa na muigizaji asiejitambua???

    ReplyDelete
  2. wewe ni mjinga usie kuwa na akili kwa hiyo wewe ni msafi sanaaaaaaaaaaaa usihukumu usije ukahukumiwa

    ReplyDelete
  3. wivu tuuu,wema kasoma na amekuwa katika mazingira ya familia inayoitabua.ila watu mmekosa kazi za kufanya mnabaki kutaka kumrudisha mtu nyuma ili nae awe kama wewe mburanyeee.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad