Mange Kimambi Adai Roho yake Imerudi CCM, Kumchagua Magufuli Urais 2015 Wamecheza Kama Ronaldo

'Kusema ukweli, mimi kama mimi nilikuwa nimeshagive up on CCM. Kilichonirudisha 100% ni Magufuli. Huyu baba ni mkali hana mchezo na mtu just what Tanzania needed. Kusema ukweli mimi nilikuwa ndio mtoa kasoro wa kwanza wa chama changu naomba kutangaza rasmi kuwa nayameza maneno yangu sababu ya Magufuli. Sasa CCM itarudi kwenye mstari. Sasa Nchi itasonga mbeleeeez. Namuaminia. Wananchi ambao mlikuwa mmeshagive on CCM kama mimi naomba turudi full fulll. No more ujinga ndani ya CCM  or ndani ya nchi hii, mambo yatabadilikaaaaaa. Naamini… Yes women supporting women ila pale top 3 sikumuona wa kuwapigisha watu gwaride zaidi yake na nchi iko kwenye hali mbaya mnoooooo anahitajika mtu mkali sana. Dada yenu avyojua kutoa viongozi kasoro ila hapa nimeshindwaaaaa naomba nitoe salute…..Mamae CCM wamecheza kama Ronaldo!!!! Au walimfufua Nyerere for day akawapa ushauri??? Maana dah, wameweza kurudisha confidence ya wananchi mie mwenyewe nimeufyataaaaaa….hahahhahaha' Says Mange

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Wapinzani wanatetemekaaaaaaaaaaaaa.
    Ni CCM tena,KUDADADEK!

    ReplyDelete
  2. Hebu tuimbe wote jamani kwa furaha ya Magufuli......moja, mbili, tatu..........HAWAAAANAA, HAWANA LA KUSEMA HAWANAAAAA, WAMEBAKIA VIJEMBE 'UKAWA' LAKUSEMA HAWANAAAAAAAA

    ReplyDelete
  3. CONGRATES ZA DHATI KWA MAGUFULI NA UONGOZI WA CCM KWA KUTUKOMBOLEA NCHI YETU....MUNGU MBARIKI MAGUFULI...............MUNGU IBARIKI TANZANIA NA MUNGU IBARIKI AFRICA. AMEN!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad