Mrembo Shamsa Ford Ajitetea Skendo ya Kuhongwa Simu

STAA wa sinema za Kibongo, Shamsa Ford amefunguka kuwa ameeleweka vibaya alipoandika mitandaoni kuwa hajawahi kununua simu za bei mbaya zaidi ya kupewa na watu.
Baada ya kuweka maneno hayo na watu kumnanga kuwa amezoea kuhongwa na hajawahi kununua simu za ‘maana’, alizungumza na mwanahabari wetu na kufafanua:

Kiukweli simu nyingi za kisasa nimekuwa nikipewa na ndugu, jamaa na marafiki na si kuhongwa na mabwana kama wengi walivyomsema,” alisema Shamsa.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad