Msichana Anayempenda Diamond adai Akijinyonga na kufa Chanzo mjue ni Penzi la Diamond...

Dear @diamondplatnumz  Mimi kila sikuu nnakwambia nnakupendaa kila siku... its ok lamdaa haunipendii nisijakulazimishaa isitoshee una mama kijachoo upendii kumiuzii.....ivii  ataa kunioneshaa support tu .. kujibu DM zanguu maana inaonesha seen... ila unanifanyia dharau... au ujawahii kupenda? Nnajua taharifa zangu unazol maana kila sikuu nnakwambia sichoki nnawaambia na akina @kifesi akina @romyjons  inamaana na a woo wanapuuzia...its OK diamond unipendii... Basil ata kushow love... siku moja ukasema shabiki yanguu baby akee nakati ya msasani au vingunguti.. unashidwaa kweeeli?. D wewe ni bimadamuu ganii unakosa utuu... OK Mimi ni masikini sivaii designer sishonei Brazilian svai CL. But iyoo isiwe sababuu yakunikosesha utuu nkadharaulikaa... ivii... eeh?. Ivi D wewe ulizaliwa na Mali.?.. na ni watu wangapii walikua na mikampuni ila wakalata bankruptcy wakarudia umasikinii.... OK mimi mbayaa kama wanavo nitukana.. ivi ni wangapii walikua wazurii kupita kiasii wakapata ajali ya motoo mpaka leo uezii watzama Mara mbili.. ivii ni haki kumu underestimate mtuu.. ni vema kumtenga MTU. Kwakweli nnajisikia vibayanoo Kuwa ignored.. if i commit suicide chanzo ni you diamond

Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. MASKINIIII....pooole.
    Umaharufu hauji ivi ivi we jiue tu utakua binge la maarufu.

    ReplyDelete
  2. unamlaumu D bure haujui love comes atutomatically. don't force love ukijinyonga ni kwa shida zako kwani alikuapproach kazi kupost mambo ya ajabu, acha kuota ndoto mama unasubiri meli nchi kavu hahahaha imekula kwako!

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad