Diamond Platnumz anatamani watu waelewe jinsi anavyompenda mpenzi wake Zari Tlale aka The Bosslady.
Wawili hao wanatarajia kupata mtoto wao wa kwanza mwezi ujao.
Hitmaker huyo wa ‘Nana’ amepost picha kwenye Instagram inayomuonesha akilibusu tumbo la mpenzi wake huyo na kuandika, “I wish you can understand how Much i Love this Woman… Thanks God for the life have always prayed for."
Msanii huyo amemaanisha, “Natamani mngeelewa jinsi ninavyompenda huyu mwanamke. Asante Mungu kwa maisha niliyokuwa nikiyaomba siku zote.”
Natamani mngeelewa jinsi ninavyompenda Zari – Diamond
8
July 14, 2015
Tags
That nice
ReplyDeleteMmmmmmmmmmmmmm ni mpenzi wako whom do u need to understand that u love her every one must love his/her partner watwaambia nin nkt.Et i wish u can/Could?
ReplyDeletebora ukose pesa upewe akili.
ReplyDeletenani asofanyiwa na mpenzi wake? au kila mtu ajionyeshe Domo bado mjinga sana, na bi kizee alozaa watoto 3. nae tusemeje.
ReplyDeletedai anafunga au anashinda njaa?
ReplyDeleteTUSHAONA NYAPU YA SHANGAZI ITAKUWA TUMBO!
ReplyDeletekutoheshimu MWEZI MTUKUFU WA RAMADHANI
ReplyDeleteYani huyu domo anashinda njaa afu wakiambiwa kuhusu duni wanaona wanafatiliwa nn maana ya kipi cha jamii
ReplyDelete