Niaje Wasee? Hawayuni? Obama Afungua Mkutano wa GES jijini Nairobi kwa Salamu ya Sheng (Video)

Rais wa Marekani, Barack Obama yupo nchini Kenya kwa ziara ya kwanza ya rais wa Marekani aliyepo madarakani kuwahi kufanyika nchini humo.

Obama amefungua mkutano wa ujasiriamali wa dunia, GES asubuhi hii kwa salamu ya Sheng. “Niaje Wasee, Hawayuni,” aliwasamilia wajumbe wa mkutano huo waliomuangushia shangwe za kutosha.

Jana usiku Obama alishiriki chakula cha usiku na ndugu upande wa baba yake.

Waliokuwepo kwenye dinner hiyo iliyofanyika Villa Rosa kwenye hoteli ya Kempinski jijini Nairobi ni pamoja na bibi yake, Mama Sarah na dada yake Auma Obama.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad