Nikiridhishwa Faragha Sharti Nimsifie Mume- Joyce Kiria

Hamida Hassan
Mtangazaji wa Kipindi cha Wanawake Live, Joyce Kiria ametoa kali ya mwaka kwa kueleza kuwa, akishibishwa vilivyo na mume wake ‘chakula cha usiku’, haoni sababu ya kumsifia kupitia mitandao.
Joyce ambaye amekuwa na kusumba na kumpa sifa kemkemu mume wake kila atokapo kula ‘chakula’ hicho ameeleza kuwa, haoni tatizo kufanya hivyo kwa kuwa kila mtu anajua ukiolewa lazima upewe ‘chakula cha usiku’ na ushibe ndipo utaifurahia ndoa.
“Mi sioni ajabu jamani kwa sababu ni vitu vya kawaida kabisa, nani asiyejua tumetoka kwa wazazi wetu kwa ajili ya kufuata ‘chakula cha usiku?’ Kwa hiyo sioni hatari kwa kweli, nitaendelea kumsifia mume wangu atakaponipa furaha, ” alisema Joyce.

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Aisee hiyo Ni special case! Joyce now days siooooo

    ReplyDelete
    Replies
    1. "NOWADAYS"Mdau na sio "now days"(ni neno moja na sio mawili) Enzi zako za shule alikuwa mwl.wa kiinglish akiingia darasani wewe ulikuwa unatokea dirishani nini?

      Delete
  2. anatafutaa kick

    ReplyDelete
  3. Mtu mzima noma hiyo jiheshimu hujui kama haya magazeti hata akina dogo nao wanayasoma nini?Kwa usemi huo ulioutoa wajifunze nini?Huo uzungu wenu wa plastiki umepita kikomo

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad