Shilole na Nuh Mziwanda Kwenye HekaHeka ya Leo, Wana Ugomvi?…(Audio)

Shilole na Nuh Mziwanda wameachiaSingle yao inayojulikana kama ‘Ganda la Ndizi’ kabla ya kutoa wimbo huo walionekana kama kutofautiana kwenye mtandao wa kijamii wa @Instagram huku kila mmoja akiweka ujumbe wa kumkashifu mwenzake.

Hekaheka ya leo imefanya mahojiano na wawili hao na kuamua kuzungumzia utata wao ambao ulizua gumzo kwenye mtandao wa Instagram.

Shilole amesema hawakuwa wamegombana lakini wanashukuru kwa support ya mashabiki wao katika kukuza muziki wao.

Shilole anasema waliamua kufanya hivyo kama sehemu ya kuutangaza wimbo waohuo mpya unaoitwa.

Wasikilize hapa mtu wangu…

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Walikua wanatafuta media attension na wamezipata watu wanaogombana wangekua pamoja kwenye Birthday party ya kajala,watu wa blog kazi mnayo kufuatilia maisha ya watu.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad