Star wa Empire Trai Byers (Andre Lyon) amvisha pete ya uchumba muigizaji mwenzie Grace Gealey (Anika)

Mastaa wa tamthilia ya Empire, Trai Byers na Grace Gealey sasa ni wachumba.

Chanzo kimeiambia US Weekly kuwa, Trai (32) alim-surprise mchumba wake Grace kwa kumvisha pete ya uchumba kwenye sherehe ya siku yake ya kuzaliwa akiwa amefikisha miaka 31, iliyofanyika Jumapili iliyopita, July 26.


Birthday ya Grace ambayo Trai alimvisha pete

Anika aliyecheza kama mchumba wa Lucious na Andre Lyon aliyecheza kama mtoto wa kwanza wa Lucious, walianza uhusiano wao baada ya kukutana kwenye series hiyo iliyojizolea umaarufu mkubwa ulimwenguni mwaka huu.
Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad