This Is The Biggest Joke Of My Lifetime Hili Taifa Tumerogwa na Nani Jamani..Wamelipa Taifa Hasara ya Billion 11 na Kwenda Jela Miaka 3...????

FACTS & EVIDENCE:- THE BANANA REPUBLIC AND ONLY IN TANZANIA ...Mawaziri 2 wa zamani Mramba na Yona walishitakiwa na Serikali kwa kusababisha hasara ya Tsh. 11 BILLION leo Mahakama imewakuta na Makosa ya mashitaka yote waliyoshitakiwa nayo na imewahukumu KWENDA JELA 3 YEARS au KULIPA FAINI YA TSH. 5 MILLION tu....now this is the biggest joke of my lifetime hili Taifa tumerogwa na nani jamani? THIS CAN ONLY HAPPEN IN TANZANIA!

Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hawa majaji gani wanafanya watanzania wajingi unbelievable miaka mitatu tu na milioni tano that is.wananchi chukua pangs pigania nchi yenu hakuna chombo cha kuwasaidia

    ReplyDelete
  2. Yani since nianze kulijua idaku at least Leo umeweka habari ya maana, this is only in Tanzania,you are very right, tens kosa wenyewe Wai gereza kuliingilia Kati hii isue hawa watu wasinge pelekwa hata mahakama, this is a shame hii inchi imeoza na inanuka rushwa. I doubt km kina mramba kweli watapelekwa in prison I want to visit them in prison ili kweli niamini Wako prison, hii inchi inaitaji miujiza

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad