UKAWA Isubiri 2025, Hawawezi Shindana na Magufuli.

Wakuu, Habari.
Kwa tafiti yangu ndogo, sii oni nafasi ya ukawa kwenda ikulu.... Maana nguvu ya Magufuli ni kubwa.

1 . Kanda ya ziwa ambako Kuna mikoa ya Mwanza, Musoma, Kagera, Simiyu, Geita na Shinyanga. Na ikumbukwe hii Kanda ina wapiga kura wengi kuliko sehemu yeyote Tanzania. Na ikumbukwe Magufuli ana asili ya huku na pia huku hawaangali chama Bali mtu..... Ndio maana, Wasira alishakuwa mbunge kupita CUF na CCM. Na huku usukumani wao magufuli kupeperusha bendera ya CCM..... kwao ni heshima kubwa sanaaa.... Ataondoka na kura zote.

2. kanda ya kati Dodoma na Singida.... Magufuli atapitishwa kirahisi.... Maana tatizo kubwa la huku ni bara bara hasa.... Kitendo cha magufuli kupitishwa wanaamini wamepata mkombozi.

3. Kanda za kusini, mashariki na magharibi.... Na kwenye we bado ni kurahisi sana.

Ni hayo tu wakuu.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad