Ukawa Wote Someni Hapa ni Ujumbe Wenu Muhimu Sana Mkitaka Kuishinda CCM Urais 2015

Kama kweli mnampango wa kuiangusha ccm naomba muunganishe nguvu na mh. Edward lowassa, hii ni kwa ajili ya kuiangusha ccm kwakuwa nawaambia ukweli hata ktk mitandao ya kijamii anaezungumzika ni Mgufuli na Ndugu Lowassa na sio Lipumba,Slaa wala mbowe na mbatia hii inaonyesha nguvu ya upinzani ipo kwa lowassa hivyo ni vzr kufuata ushauri huu kwa sababu mtaweza kukishinda chama cha ccm kupitia ccm wenyewe

Najua kuna wengi ambao watakuja kuchangia hapa kwa ubaya na matusi lkn huu ndio ukweli fanyeni hilo kama mnataka kuwatumikia wananchi sambamba na kuiondoa ccm madarakani LA SIVYO hamtafanikiwa na haswa mkitaka kufuata watu hapo chini wana comment nini, coz huwezi jua anaecomment ni kada wa ccm au lah hivyo huu ni ujumbe wangu kwenu Enyi mnaojiita UKAWA, mkidharau hili hamtafanikiwa.

homa iliyopo ccm ni kama lowassa atajiunga kwenu hivi sasa wanatafuta deffensive points za kuzungumza kuhusu lowassa kama akijiunga na ukawa maana tetesi zimefika lkn wamekosa deffensive points against lowassa coz kila watakacho jaribu watajisema wao.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad