Mmoja wa Abiria Aliyoshambuliwa Juzi na Mtu Huyo kwenye Daladala |
Hadi mama mmoja jasiri alipo jitolea na kukishika kile kisu cha mvamizi hadi kikamkata vidole.Eti ndipo wanaume wakajitokeza.
Kweli jamani wanaume wa Dar! Hadi msaidiwe na kina mama!
Aibu iliyoje hii
mbona siku hizi “NO COMMENTS” watu wanaogopa ?
ReplyDelete