si lazima uwe free mason tu ndio uwe muabudu sheitan vile unavoishi maisha yako kwa kumkufuru mungu manaake wewe ni muabudu sheitan kama hufuati maagizo ya vitabu vya mungu muumba wa mbingu na ardhi na mitume yake wewe unaabudu sheitani its simple at that, so kukubali kiumbe kuwa alikuwa akimuasi mungu ni tosha na anafaa kujirekebisha na kuomba msamaha ili aishi maisha bora yanayompendeza mungu
Kwa hiyo huyu mheshmiwa yupo Freemason na anataka kutoka?? Au nimejitisha tu?
ReplyDeletesi lazima uwe free mason tu ndio uwe muabudu sheitan vile unavoishi maisha yako kwa kumkufuru mungu manaake wewe ni muabudu sheitan kama hufuati maagizo ya vitabu vya mungu muumba wa mbingu na ardhi na mitume yake wewe unaabudu sheitani its simple at that, so kukubali kiumbe kuwa alikuwa akimuasi mungu ni tosha na anafaa kujirekebisha na kuomba msamaha ili aishi maisha bora yanayompendeza mungu
ReplyDelete