Aliyekua Waziri wa Elimu Joseph Mungai na Mkewe Watangaza Kuhama CCM na Kujiunga na CHADEMA

Aliyekua Waziri wa Elimu Joseph Mungai na mkewe wametangaza kuhama CCM na kujiunga na CHADEMA Mafinga leo ambapo mgombea urais kupitia UKAWA /CHADEMA Edward Lowassa yupo mkoani Iringa kwaajili ya kampeni
Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. wenge wanataka mabadiliko na bado wapo wenge ccm Ila kura yao kwa UKAWA

    ZUIA BAO LA MKONO

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad