Angalia Video Jinsi Nyumba iliyoteketea kwa Moto na Kuua Watu 9 Buguruni Malapa

Watu tisa wa familia moja wameteketea kwa moto usiku wa kuamkia leo huko Buguruni Malapa jijini Dar es Salaam.
Tukio hilo la kusikitisha limetokea Mtaa wa Ulam ambapo, bibi, watoto watatu wa kike na wajukuu watano waliokuwa wanaishi nyumba namba 40 wameteketea.

Video Hii Hapa:

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. inna lillahi wainna ilayhi raj..uuun....ALLAH awaweke mahali pema peponi...AAMIIN

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad