Watu tisa wa familia moja wameteketea kwa moto usiku wa kuamkia leo huko Buguruni Malapa jijini Dar es Salaam.
Tukio hilo la kusikitisha limetokea Mtaa wa Ulam ambapo, bibi, watoto watatu wa kike na wajukuu watano waliokuwa wanaishi nyumba namba 40 wameteketea.
Video Hii Hapa:
inna lillahi wainna ilayhi raj..uuun....ALLAH awaweke mahali pema peponi...AAMIIN
ReplyDelete